TOTTENHAM WANAHAHA KUMPATA DYBALA
TOTTENHAM wapo bize kwa sasa kukamilisha dili la kumpata mshambuliaji wa Juventus Paulo Dybala.Kwa sasa wamefikia hatua nzuri ya makubaliano na uongozi wa Juventus...
KIKOSI CHA TANZANITE KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA AFRIKA KUSINI MICHUANO YA COSAFA
KIKOSI cha Timu ya Taifa ya Wanawake chini ya miaka 20 'Tanzanite' kitakachoanza dhidi ya Afrika Kusini leo michuano ya COSAFA hatua ya nusu...
KMC WANA BALAA, WATIA TIMU LEO RWANDA NA KUANZA KUWAVUTIA KASI WAPINZANI WAO
KIKOSI cha KMC leo kimetia timu nchini Burundi kwa ajili ya kujiaandaa na mchezo wake wa kimataifa dhidi ya AS Kigali.KMC itamenyana na AS...
WATATU WA KIKOSI CHA KWANZA KUBAKI BONGO SIMBA IKIKWEA PIPA KUWAFUATA UD SONGO
IMEELEZWA kuwa nyota watatu wa kikosi cha kwanza wa timu ya Simba watabaki Bongo wakati timu ikikwea pipa kuelekea nchini Msumbiji kuivaa UD Songo.Simba...
BAADA YA JANA KUSHUSHA DOZI YA 4G, YANGA KAZINI TENA LEO
BAADA ya Jana kikosi cha Mabingwa wa Kihistoria Yanga kushusha kichapo cha 4 g mbele ya Mlandege visiwani Zanzibar leo wana kazi nyingine tena...
LUKAKU WA MANCHESTER UNITED KUIBUKIA MILAN
ROMELU Lukaku amekamilisha uhamisho wake kutoka Manchester United mpaka Iter Milan.Milan inayoshiriki Serie A imeweka mezani mkwanja wa pauni Milioni 72 ili kukamilisha dili...
AZAM FC YAPANIA KUFANYA MAAJABU KWA WAETHIOPIA JUMAPILI
KIKOSI cha mabingwa wa kombe la Shirikisho Azam FC kimepania kufanya maajabu kwenye mchezo wao utakaochezwa Jumapili nchini Ethiopia dhidi ya Fasil Kenema.SAzam FC...
CHELSEA YAKUBALI KUMUACHIA NYOTA WAO LUZ KWA HASARA KUTUA ARSENAL
ARSENAL inatakiwa ivunje kibubu na kuweka mezani dau la pauni milioni 12 Kwa Chelsea ili kumpata nyota David Luiz.Beki huyo raia wa Brazil amewaambia...
MABOSI MANCHESTER CITY WAKUBALIANA KUMPA NAMBA MPYA NYOTA WAO MPYA
MABOSI wa Manchester City wamethibitisha kwamba nyota mpya aliyejiunga nao kwa ajili ya msimu ujao atatumia jezi namba 27.Joao Cancelo amekamilisha usajili wake ndani...
TANZANITE: TUNAWANYOOSHA AFRIKA KUSINI LEO
BAKARI Shime, Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Wanawake chini ya miaka 20 'Tanzanite' amesema kuwa kikosi kipo sawa kwa ajili ya mchezo...