WALIOMALIZA MIKATABA NA MAJEMBE MENGINE MAPYA HAWA HAPA , NI LISTI KAMILI- VIDEO

0
YANGA imesajili wachezaji saba wa kigeni ambao ni mabeki, Lamine Moro (Ghana) na Mustapha Selemani (Burundi). Washambuliaji, Sadney Ukhob (Benin), Issa Bigirimana (Burundi), Patrick Sibomana...

PIERRE LIQUID AICHAMBUA KIUFUNDI MECHI STARS VS SENEGAL – VIDEO

0
SHABIKI wa Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars Pierre Liquid ambaye aliungana na wabunge wa jamhuri ya muungano wa Tanzania kwenda Misri kuishangilia...

KAHATA NA SIMBA MAMBO YAMEIVA

0
Inaweza ikawa taarifa nzuri zaidi kwa mashabiki na wapenzi wa klabu ya Simba ambapo taarifa zinasema mabingwa hao watetezi wa Ligi Kuu Bara bado...

YANGA YAONYESHA JEURI YA FEDHA, USAJILI WAKE KUFURU

0
YANGA wametumia zaidi ya Sh900mil mpaka lengo likiwa ni moja tu kusuka kikosi chenye muonekano mpya na hadhi ya klabu hiyo. Fungu hilo ambalo...

HILI SASA NI BALAA, MAMA TANASHA AZUIA NDOA YA MONDI NA MWANAYE

0
Achana na sababu alizowahi kuzitoa mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ juu ya kuahirisha ndoa yake na Tanasha Donna Oketch, lakini kumbe nyuma ya pazia,...

MRITHI WA SARRI NDANI YA CHELSE, LAMPARD KUTANGAZWA BAADA YA MASAA 48

0
Frank Lampard anapewa nafasi kubwa ya kurejea kwenye timu yake ya zamani ya Chelsea akiwa ni meneja ndani ya siku mbili.Mchezaji huyo wa zamani...

MANCHESTER UNITED WAIPIGA CHINI OFA YA NEYMAR

0
MANCHESTER United wameipiga chini ofa ya kubadilishana mchezaji wao Paul Pogba na timu  ya Paris Saint Germain (PSG) kumpata Neymar.Pogba anaonekana ana mpango wa kusepa Old...

ULE MSELELEKO WA DStv WIKIEND HII UNAKUJIA NA MAJAMAA WA WATUBAKI…USIPOCHEKA UNASHIDA YA BANDAMA….

0
Vunja mbavu na Vichekesho vya Watubaki kila siku za Jumamosi saa 3 usiku kupitia chaneli ya...

ZAHERA ATAJA SABABU NYINGINE YA KUFUNGWA NA OKWI, AWATAJA CAF

0
BAADA ya timu ya taifa ya DR Congo kupokea kichapo cha mabao 2-0 kutoka kwa Uganda, juzi Jumamosi, Kocha Msaidizi wa DR Congo, Mwinyi...