HUYU HAPA KOCHA BORA WA MWEZI JANUARI, MZUNGU WA SIMBA NA MALALE HAMSINI WAPIGWA...
VerifiedKOCHA wa timu ya Azam FC ya Dar es Salaam, Aristica Cioaba amechaguliwa kuwa Kocha Bora wa mwezi Januari wa Ligi Kuu ya Vodacom...
LIPANGILE WA KMC AWAPIGA BAO WADADA WA AZAM NA DILUNGA WA SIMBA
MSHAMBULIAJI wa timu ya KMC ya Dar es Salaam, Sadallah Lipangile amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa mwezi Januari wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania...
PAMBA YAPOTEZA MBELE YA GEITA GOLD
NYOTA wa Geita Gold inayoshiriki Ligi Daraja la Kwanza, George Mpole jana aliisepa na mpira wake baada ya kuitungua mabao matatu timu ya Pamba...
MTIBWA SUGAR: TUNAICHAPA SIMBA NA POINTI TATU TUNASEPA NAZO
THOBIAS Kifaru, Ofisa Habari wa Mtibwa Sugar amesema kuwa kichapo kwa Simba ni halali yao kwani wanawatambua vema hivyo hawatawasumbua kwenye mchezo wao wa...
MZUNGU AMBADILISHIA MAJUKUMU NCHIMBI KISA MOLINGA
LUC Eymael amesema kuwa kazi kubwa aliyompa mshambuliaji wake Ditram Nchimbi ni kutengeneza nafasi za mabao kwa mshambuliaji mwenzake David Molinga akishindwa basi inabidi...
HUYO LUKAKU ANASIFA, WAPINDUA MEZA KIBABE NA TIMU YAKE MBELE YA AC MILAN
LICHA ya Ante Rebic wa AC Milan kufunga bao la kuongoza kwa timu yake dakika ya 40 na Zlatan Ibrahimovic kupachika msumari wa pili...
MBARAKA YUSUPH AREJEA RASMI AZAM FC BAADA YA KUWA NJE MWAKA MMOJA
MBARAKA Yusuph, mshambuliaji wa Azam FC amerejea uwanjani baada ya kukaa nje kwa muda wa mwaka mmoja.Mbaraka alikuwa anasumbuliwa na majeraha ya goti aliyoyapata...
SENZO AMKATALIA SVEN, MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATATU
MUONEKANO wa Ukurasa wa Mbele GAZETI la CHAMPIONI Jumatatu, Februari 10.
KUNA UMUHIMU WA HAKI KUTENDEKEA KWA UPANDE WA WAAMUZI WA BONGO
SIKU hizi vijiwe vyote mada ni moja tu, suala la waamuzi kuboronga kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara, hakuna kingine.Niko kwenye kijiwe kimoja cha kahawa...
MUZIKI WA KOCHA BORA, MCHEZAJI BORA NI MOTO JANUARI, CHEKI WANAVYOKIMBIZANA
JANUARI wengi wanapenda kuuita mwezi dume kutokana na kuwa na majalada mengi ambayo yamechanganywa sehemu moja ila ghafla tu umemeguka na sasa ni Februari.Kwenye...












