STRAIKA MPYA YANGA AWACHIMBA MKWARA WABRAZIL SIMBA AKIWA KWAO RWANDA

0
Mshambuliaji mpya wa Yanga, Issa Bigirimana ‘Walcott’ amesikia taarifa za usajili wa mabeki wapya wa Kibrazili wa Simba na kutamka kuwa hao ndio anaowataka.Kauli...

SIMBA KUKIPIGA NA ARSENAL KWA MKAPA

0
Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Klabu ya Simba na mwekezaji wa Klabu hiyo, Mohammed Dewji ‘Mo’, ameonekana akiwa na jezi ya Timu ya...

KOCHA YANGA ASHINDWA KUJIZUIA, ATOA TAMKO JUU YA WABRAZIL SIMBA

0
Kocha wa timu ya wanawake ya Yanga, Mohamed Hussein ‘Mmachinga’, amesema kuwa wachezaji wote wa kigeni ambao wamesajiliwa na Simba, wataibeba timu hiyo kimataifa...

MARKO ARNAUTOVI ATAKA KUSEPA WESTHAM NA KUTIMKIA CHINA

0
MARKO Arnautovic  anahitaji kuiacha timu yake ya West Ham ili kujiunga na ligi ya China licha ya timu nyingi zinazoshiriki Ligi Kuu ya England...

AGREY MORIS KUKAA NJE YA UWANJA MIEZI MIWILI

0
 AGREY Moris, nahodha wa klabu ya Azam FC anatarajia kuwa nje uwanja kwa muda wa miezi miwili baada ya kufanyiwa upasuaji wa goti nchini...

NINJA WA YANGA ATIMKIA KUKIPIGA MAREKANI

0
Abdalah Shaibu ‘Ninja’ amesaini kandarasi ya miaka minne akitokea timu ya Yanga kuitumikia timu ya MKF Vyskov ya Jamhuri ya Czech.Timu hiyo imemtoa kwa...

MAMA KANUMBA: BABA KANUMBA ALIKUWA MCHEPUKO WANGU TU! – VIDEO

0
MAMA wa aliyekuwa staa wa Bongo Movie, marehemu Steven Kanumba, Bi. Flora Mtegoa, amesema hakuwahi kuolewa na baba wa mtoto wake huyo (mzee Charles...

OKWI ATAKA 115M KWA MWAKA SIMBA

0
STRAIKA wa Simba, Mganda, Emmanuel Okwi ameyaamsha tena mambo ndani ya klabu yake hiyo baada ya kuwaambia viongozi kwamba kama wanataka asalie klabuni hapo,...

SIMBA YAMALIZANA NA KIFAA KUTOKA TP MAZEMBE, KILIWAHI KUCHEZA KOMBE LA DUNIA

0
Kazi ya kusajili wakali watakaohakikisha kikosi cha Mabingwa kinazidi kuwa tishio kwa wapinzani inaendelea.Mshambuliaji raia wa Congo DR, Deo Kanda (29) amejiunga na Mabingwa...