AMUNIKE AENDELEZA DHARAU, ASISITIZA HANA CHA KULAUMIWA

0
Na Saleh Ally, CairoKOCHA Mkuu wa Taifa Stars, Emmanuel Amunike ameendelea kusisitiza kwamba yeye hana cha kulaumiwa.Amunike amesema mara baada ya Stars kupoteza mchezo...

WAKATI UMEFIKA TUMEACHE AMUNIKE AENDE ZAKE SALAMA, TUSONGE

0
NA SALEH ALLYMIAKA 39 michuano ya Kombe la Mataifa Afrika maarufu kama Afcon kwetu ilikuwa ni hadithi. Safari hii timu yetu ipo hapa jijini Cairo...

HATMA YA ZAHERA NA YANGA JUU YA MKATABA MPYA HII HAPA

0
UONGOZI wa Klabu ya Yanga upo mbioni kumuongezea mkataba mpya kocha wake mkuu Mkongomani, Mwinyi Zahera wa kuendelea kukinoa kikosi hicho. Mkongomani huyo alijiunga...

JESHI KAMILI LA YANGA HILI HAPA, SALAAM ZAO WAPINZANI

0
YANGA ndiyo timu pekee iliyofanya usajili wa haraka na kukamilika kabla dirisha la usajili kufunguliwa rasmi jana.Dirisha hilo la usajili linatarajiwa kufungwa Julai 31,...

MANULA AVUNJA REKODI YA DAU USAJILI SIMBA

0
Kipa namba moja wa timu ya taifa, Taifa Stars na Klabu ya Simba, Aishi Manula, anatajwa kuwa mchezaji wa kwanza mzawa kusaini kwa dau...

BEKI MPYA MANCHESTER UNITED AMTAJA ALIYEMPELEKA UNITED

0
AARON Wan- Bissaka ambaye ni beki mpya ndani ya Manchester United amesema kuwa meneja wa timu hiyo Ole Gunnar Solkjaer ndiye amesababisha ajiunge na...

SABABU YA RUVU SHOOTING KUFANYA KLINIKI KWA WACHEZAJI YATAJWA

0
UONGOZI wa Ruvu Shooting umesema kuwa kwa wachezaji wote wenye vipaji na wanajua kucheza mpira ni zamu yao kujitokeza leo kwa wingi uwanja wa...