MUONEKANO WA UZI MPYA WA SIMBA MSIMU WA 2019/20
Jezi za msimu mpya wa 2019/2020 kwa klabu ya Simba. Uzi...
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTIXTRA ALHAMISI
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la SPOTI XTRA Alhamisi
HUU HAPA UZI WA POLISI TANZANIA MSIMU UJAO
KAZI imeanza, timu ya Polisi Tanzania imetambulisha uzi mpya ambao utatumika msimu ujao kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara.Polisi Tanzania ipo chini ya Kocha, Seleman...
KOCHA: STARS ILIISHIWA MBINU MWANZO, WANA KAZI YA KUFANYA NCHINI KENYA
SAID Maulid, Kocha wa timu ya Vijana chini ya miaka 20 wa Yanga, amesema kuwa tatizo kubwa la wachezaji wa timu ya Taifa wanashindwa...
AZAM FC KUTESTI MITAMBO YAO LEO TENA MBELE YA POLISI TANZANIA
AZAM FC, leo itacheza mchezo wa kirafiki na timu ya Polisi Tanzania uwanja wa Azam Complex majira ya saa 1:00 usiku.Mchezo huu ni maalumu...
RASMI YANGA YAMALIZANA NA MSHAMBULIAJI MWILI JUMBA, ASAINI MWAKA MMOJA
DAVID Molinga amejiunga na Yanga kwa mkopo wa mwaka mmoja akitokea AC Lega ya Congo.Nyota huyu ambaye ni mshambuliaji ni pendekezo la Kocha Mkuu,...
SIMBA YAMWAGIWA MAMILIONI, SASA KUTOTUMIA HATA SHILINGI YA MFUKONI
CRESCENTIUS Magori, Ofisa Mtendaji Mkuu wa Simba amesema kuwa kwa mwaka huu Simba hawatatoa hata shilingi mfukoni kununua vifaa vya mpira kutokana na dili...
MUSSA MBISSE MLINDA MLANGO ALIYEKUWA NA MALENGO YA KUWA PADRI KWA SASA YUPO MWADUI
MUSSA Mbisse mlinda mlango wa Mwadui FC awali hakuwa na mpango wa kuwa mchezaji bali ndoto zake ilikuwa aje kuwa mtumishi wa Bwana.Maono yake...
MCHAKAMCHAKA WA AZAM FC KIMATAIFA NI MOTO
KIKOSI cha Azam FC kinaedelea na mazoezi kwa ajili ya kujiweka sawa kuelekea kwenye mchezo wao kimataifa wa kombe la Shirikisho dhidi ya Fasil...
LUKAKU AKISEPA TU UNITED HAWA HAPA KUVAA VIATU VYAKE
OLE Gunnar Solskjaer, Meneja wa Manchester United hana shaka endapo dili la Romelu Lukaku kujiunga na Juventus litatimia kwa ajili ya msimu ujao.Meneja huyo...












