MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMAMOSI

0
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la CHAMPIONI Jumamosi

KABLA LIGI KUU BARA HAIJAANZA, RATIBA YA LIGI KUU BARA KUFANYIWA MABADILIKO

0
WILFRED Kidao, Katibu Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) amesema kuwa kuna uwezekano mkubwa wa ratiba ya Ligi Kuu Bara msimu ujao ikafanyiwa...

NAHODHA MPYA WA YANGA HUYU HAPA, ARITHI KITAMBAA CHA AJIBU

0
PAPPY Tshishimbi, kiungo wa Yanga amekabidhiwa kitambaa cha unahodha ndani ya kikosi hicho kilichoweka kambi mkoani Morogoro.Kiungo huyo amekabidhiwa kitambaa hicho ambacho kilikuwa mikononi...

MASHABIKI WAITWA UWANJA WA TAIFA AGOSTI 28 KUIPA SAPOTI TIMU YA TAIFA

0
CLIFORD Ndimbo, Ofisa Habari wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) amesema kuwa ni wakati wa mashabiki kujitokeza kwa wingi Agosti 28 kuipa sapoti timu...

YONDAN ANA BALAA, KAMBI YA SIMBA YAZIDI KUNOGA NI KESHO NDANI YA CHAMPIONI JUMAMOSI

0
KESHO CHAMPIONI Jumamosi limesheheni habari kamili kuhusu kambi ya Yanga, Maandalizi ya Timu ya Taifa ya Tanzania bila kusahau kambi ya Simba

MATOLA: AKIPATIKANA MDHAMINI MKUU, MSIMU UJAO UTANOGA

0
SELEMAN Matola Kocha wa Polisi Tanzania amesema kuwa msimu ujao utakuwa na ushindani mkubwa endapo atapatikana mdhamini mkuu.Akizungumza na Saleh Jembe, Matola amesema kuwa...

ARSENAL WABISHI KINOMA WAKOMAA NA AUBAMEYANG

0
ARSENAL imesema kuwa haina mpango wa kumuuza nyota wake, Pierre Aubameyang msimu ujao.Awali ilikuwa inaelezwa kuwa haina mpango wa kumuuza nyota huyo msimu ujao...

SIMBA MSIMU UJAO MCHEZAJI MMOJA KUCHEZA ZAIDI YA NAFASI MOJA, MIFUMO MPAKA MITATU

0
PATRICK Aussems,Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa anataka kuona wachezaji wake wanacheza nafasi zaidi ya moja ili kutumia mifumo miwili au mitatu msimu ujao. Msimu...
Mwambusi

MBEYA CITY: KAZI KUBWA ITAFANYIKA MSIMU UJAO

0
JUMA Mwambusi, Kocha Mkuu wa Mbeya City amesema kuwa kwa sasa yupo kwenye mkakati wa kukisuka upya kikosi cha Mbeya City ili kifanye maajabu...

WEMA SEPETU AMTAJA BINGWA WA LIGI KUU BARA MSIMU UJAO

0
SHABIKI mkubwa wa timu ya Yanga, Wema Sepetu amesema kuwa ana imani na kikosi cha Yanga kitatwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu ujao.Sepetu...