MERIDIANBET YATOA JEZI KWA JOGOO VETERAN….
Kama inavyojulikana kuwa wakali wa ubashiri Tanzania Meridianbet wameendelea kuiangalia jamii kwa jicho tofauti ambapo wameendelea kuigusa jamii kwenye sekta mbalimbali na leo hii...
THE CURSED KING SLITI YA KASINO MPYA NDANI YA MERIDIANBET…
Kupitia Meridianbet utakutana na mchezo wa kasino ya mtandaoni unaoelezea kisa cha Farao aliyelaaniwa kwa matendo yake, unachopaswa kufanya ni kuwa mkali kwa kucheza...
IJUMAA YA KUONDOKA NA USHINDI NI LEO….ODDS ZA UHAKIKA HIZI HAPA…
Siku ya leo ni nzuri sana endapo utabashiri na mabingwa wa ubashiri Meridianbet kwani hapa ushindi ni lazima. Unangoja nini sasa?. Tandika jamvi lako...
MCHEZO WA KARATA KASINO YA CASINO STUD POKER MAAJABU YA KARATA MOJA YA USHINDI…..
Je wewe ni bingwa wa kucheza karata na umeshindikana mtaani kwako, unahisi hakuna anayekuwezea? Huu hapa mchongo mpya wa kutengeneza pesa nyingi huku unaburudika...
ZA NDAAANI KABISA….SIMBA, YANGA, MAZEMBE KUNG’OA VIFAA HIVI VYA KAZI FOUTAIN GATE…
KLABU za Simba, Yanga na TP Mazembe zimetajwa kupeleka ofa katika klabu ya Fountain Gate kwa ajili ya kuhitaji nyota wa timu hiyo katika...
KUELEKEA CHAN 24…..TANZANIA YAPEWA UPENDELEO…CAF ‘WAAGIZA’ IFIKE FAINAL….
RAIS wa Shirikisho la mpira wa miguu Afrika (CAF), Patrice Motsepe amesema anatamani kuiona Tanzania ikifika fainali ya michuano ya kombe la Mataifa ya...
PAMOJA NA KUWEKA REKODI JANA…ALICHOKISEMA DUBE…ATAJA WALIOMFIKISHA HAPO…
Mshambuliaji wa Yanga Prince Dube amewashukuru watu wote waliomuombea hadi amefanikiwa kufunga mabao yake ya kwanza matatu katika ligi.
Dube ambaye amechaguliwa mchezaji bora wa...
PAMOJA NA USHINDI WA JANA …..HAYA HAPA MAJANGA YA YANGA…DIARRA, CHAMA MHHH…
YANGA jana imeshinda jana goli 3-2 dhidi ya Mashujaa FC, Lakini imekuwa ikipitia kipindi kigumu kwa siku za karibuni baada ya kukosa matokeo mazuri...
RASMI…..HII HAPA MECHI YA KWANZA KWA MPANZU AKIWA NA SIMBA….
KLABU ya Simba imethibitisha kwamba, kila kitu kuhusu usajili wa Elie Mpanzu ndani ya kikosi hicho kimekamilika, hivyo ni rasmi sasa yupo tayari kuanza...
BAADA YA MWENDA…..MASHINE HIZI ZA KAZI KUTUA YANGA MMOJA MMOJA…..
YANGA wanapambana kuhakikisha wanatimiza matakwa ya kocha mkuu wa kikosi hicho, Sead Ramovic ambaye ameagiza kufanyika maboresho kadhaa katika kipindi hiki cha usajili wa...