Meridianbet

MERIDIANBET YAADHIMISHA SIKU YA KUPINGA UKATILI KWA WANAWAKE LEO…..

0
Pinga Ukatili, Simama na Mwanamke, hii ni kampeni ambayo wamekuja nayo Meridianbet kwaajili ya kuungana na watu wote Duniani kwenye siku yao ya Kimataifa...
Meridianbet

JUMAPILI HII NI YAKO NA MERIDIANBET….ODDS ZA USHINDI LEO HIZI HAPA…

0
Je mkeka wako umechanika jana?. Basi nafasi ya mkeka kutikia unayo leo hii kwani Man United, Napoli, OGC Nice na wengine wengi wapo dimbani...
HABARI ZA SIMBA NA YANGA

SIMBA, YANGA ZAPEWA ‘MTELEZO’ KOMBE LA SHIRIKISHO….

0
Mabingwa watetezi wa Kombe la FA, Yanga SC, wataanza safari yao ya kutetea taji kwa kucheza dhidi ya Copco FC kutoka Mwanza, inayoshiriki Ligi...
Meridianbet

JE UNAJUA KUWA LEO HII NI SIKU YAKO YA BAHATI……ODDZ ZA USHINDI HIZI HAPA..?

0
Je unajua kuwa meridianbet ndio sehemu pekee ambayo unaweza kupata odds kubwa na machaguo zaidi ya 1000?. Kama hujajua basi mimi ndio nakujuza ingia...
Pamba 0 - 1 Simba

FT:- PAMBA 0 – 1 SIMBA SC…..GOLI LA ATEBA LILIVYOMALIZA UBISHI NA FITINA ZA...

0
WEKUNDU wa Msimbazi Simba imeibuka na ushindi 1-0 Dhidi ya Pamba Jiji FC, katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara jioni ya leo uwanja...
Habari za Yanga leo

HAYA HAPA MAAJABU YA KOCHA MPYA HUKO YANGA….MASTAA WAFICHUA WANAYOFANYIWA….

0
KOCHA mpya wa Yanga, Sead Ramovic jana jioni alitarajiwa kuwa na kikosi chake kamili baada ya mastaa wa timu hiyo waliokuwa wanayawakilisha mataifa yao...
Habari za Michezo

BAADA YA KUONEKANA NA YANGA…FREDY ‘FUNGA FUNGA’…AMWAGA WINO ….

0
BAADA ya kutambulishwa rasmi na Zesco United, aliyekuwa mshambuliaji wa Simba SC, Freddy Michael Koublan, amejipanga kurejea kwa kishindo kwenye soka la ushindani. Mshambuliaji huyo...
Habari za Simba leo

PAMBA vs SIMBA LEO….MECHI ILIANZA NNJE YA UWANJA…UNAYOPASWA KUYAJUA HAYA HAPA…

0
Baada ya mapumziko ya kupisha michezo ya kimataifa. Ligi kuu ya NBC inatarajia kuendelea leo kwa mchezo mmoja ambapo wenyeji wa dimba la CCM...
HABARI ZA SIMBA

USAJILI MPYA SIMBA DIRISHA DOGO HUU HAPA….FADLU AKABIDHI ‘FAILI’ KWA MABOSI…

0
WAKATI dirisha dogo la usajili likikaribia, Kocha Mkuu wa Simba, Fadlu Davids, tayari amepenyeza faili la usajili akitaja maeneo anayotaka yaongezewe nguvu kwa ajili...
Haabri za Yanga leo

KOCHA MPYA YANGA AMVURUGA IBENGE….’NILIJIPANGA KUCHEZA NA TIMU YA GAMONDI’….

0
MABADILIKO katika benchi la ufundi la Yanga, yameonekana 'kumtisha', Kocha Mkuu wa Al Hilal Omdurman ya Sudan, Florent Ibenge, ambaye amesema yeye alijiandaa kupambana...