KISA CAF…..SIMBA, YANGA ZAPIGWA ‘KALENDA’ TFF……
SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limetoa ratiba kamili ya raundi ya tatu ya kombe la FA huku klabu za Simba na Yanga...
BAADA YA KUWASHIKA VILIVYO TOKA ASAJILIWE….AHOUA AJIPA ‘UFALME’ SIMBA…
KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Jean Charles Ahoua, amefichua kuwa yeye ndiye mpigaji penalti namba moja kwenye kikosi hicho ambapo ameshaaminiwa na Kocha Mkuu, Fadlu...
SIKU YA KUCHUKUA MKWANJA EPL NI LEO….
Katika ile siku ya kunyakua mkwanja kupitia Meridianbet pale Epl ni leo ambapo kutakua na michezo kadhaa mikali ambayo itakwenda kupigwa katika madimba tofauti...
ZUNGUSHA NA USHINDE KATIKA PROMOSHENI YA MWEZI WA PESA!…
Meridianbet imezindua promosheni ya msimu wa sikukuu inayojulikana kama Mwezi wa Pesa. Promosheni hii inakupa nafasi ya kushinda zawadi kubwa unapojiunga na michezo ya...
KOCHA MPYA YANGA ‘AVURUGWA’ NA CHAMA ….ALICHOKISEMA A-Z HIKI HAPA….
KOCHA Mkuu wa Yanga, Sead Ramovic, amesifu kiwango cha kiungo mshambuliaji, Clatous Chama, akisema ni cha hali ya juu na ndiye aliyebadilisha mchezo kiasi...
KUELEKEA MECHI NA WAARABU…..MASTAA SIMBA WALA KIAPO CHA KUFA KUPONA…
WACHEZAJI wa Simba, wamesema watakwenda kupigana kufa kupona ili kupata ushindi au hata sare kwenye mchezo wa pili wa Kombe la Shirikisho, hatua ya...
KUELEKEA MECHI YA CAF NA WAANGOLA LEO…HII HAPA RAMANI YA USHINDI KWA SIMBA….
KATIKA michezo mitano iliyopita, Simba imeonyesha kiwango bora kwa kushinda zote dhidi ya Tanzania Prisons (1-0), Namungo (3-0), Mashujaa (1-0), KMC (4-0) na Pamba...
PAMOJA NA KUFURUSHWA YANGA…GAMONDI KASALIA BONGO….HUENDA AKATUA TIMU HII…
BAADA ya klabu ya Singida Black Stars kumsimamisha kazi Kocha Mkuu, Patrick Aussems na msaidizi wake Denis Kitambi ambao wote walishawahi pia kufanya kazi...
KUELEKEA MECHI NA WAANGOLA LEO…MUKWALA, ATEBA WAPEWA KAZI MAALUMU SIMBA…
KOCHA Mkuu wa Simba, Fadlu Davids, amewapa kazi mastraika wake wawili, Leonel Ateba na Steven Mukwala, kuwamaliza Waangola, Bravo do Maquis, katika mchezo wa...
KUHUSU STARS KUENGULIWA KUSHIRIKI AFCON 2025….HUU HAPA MSIMAMO WA TFF….
BAADA ya kuwapo kwa sintofahamu ya huenda Timu ya Soka ya Taifa (Taifa Stars), itaondolewa kushiriki Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON...