MECHI YA USHINDI NA HESHIMA LEO YANGA vs MADEAMA
“Leo ndio leo leo…” Huo ndiyo wimbo unaogonga kwenye mioyo ya mashabiki wa Yanga na kuanzia saa 10:00 jioni, chama lao litakuwa Uwanja wa Benjamin…
“Leo ndio leo leo…” Huo ndiyo wimbo unaogonga kwenye mioyo ya mashabiki wa Yanga na kuanzia saa 10:00 jioni, chama lao litakuwa Uwanja wa Benjamin…
Wakati kocha Abdelhak Benchikha akisisitiza mechi ya leo ni sawa na fainali kwao, rekodi za Wydad kwenye mechi 10 za karibuni ugenini zinafufua matumaini kwa…
Uongozi wa Yanga umeweka wazi kuwa kwa sasa hesabu zao ni kuelekea mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Medeama ya Ghana. Huo ni…
Kocha Mkuu wa Simba SC, Abdelhak Benchikha amesema anafahamu mchezo wa leo dhidi ya Wydad AC itakuwa ngumu lakini ataingia kwa umakini mkubwa. Amesema, mchezo…
Hakuna namna, lazima kushinda na tusifungwe, ni kauli za makocha na wachezaji wa zamani wakiueleza mchezo wa kesho wa Simba na Wydad na ule wa…
Makocha wa timu za Simba na Wydad AC ya Morocco kila mmoja kwa wakati wake ametamba kufanya vizuri katika mchezo wa leo Jumanne. Mechi hiyo…
Kuelekea mchezo wa Young Africans dhidi ya Medeama siku ya Jumatano, klabu hiyo ina mpango wa kumleta msanii wa Hiphop Chid Benz kwaajili ya kutoa…
Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga, Ali Kamwe amesema Ghalib Said Mohammed ‘GSM’ amenunua tiketi zote za mzunguko kwenye mechi ya marudiano dhidi ya Medeama…
Mchezaji wa zamani wa Taifa Stars na vilabu vya Yanga na Simba, Bakari Malima ‘Jembe Ulaya’ amesema kuwa, tofauti na vikosi vya Simba na Yanga…
Yanga inashuka jioni ya leo kwenye Uwanja wa Azam Complex katika mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Mtibwa Sugar, lakini wakimaliza watarudi kibaruani katika Ligi…