Burudani

YANGA KUMLETA CHID BENZ VS MADEAMA

Staff Desk December 18, 2023 6:57 am

Kuelekea mchezo wa Young Africans dhidi ya Medeama siku ya Jumatano, klabu hiyo ina mpango wa kumleta msanii wa Hiphop Chid Benz kwaajili ya kutoa burudani kwa mashabiki watakao jitokeza kwenye mchezo huo.

“Yanga imesheheni burudani, ndani na nje ya uwanja. Kwa mfano tumekuwa tukipata burudani kutoka kwa DJ Ally B. Wasanii wote wakubwa Tanzania ni Yanga. Niwahakikishie nitapambana kwenye mechi ya Medeama tumpate Chidy Benzi. Tunataka Dar es Salaam isimame” Ally Kamwe.

Goma gani la Chid Benz utatamani alipige siku hiyo

KISA AZIZI KI ALLY KAMWE AWAJIA JUU WACHAMBUZI BAADA YA SIMBA KUANZA KUPATA USHINDI….MANGUNGU KAIBUKA NA HILI JIPYA…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply