SOKA LA BONGO LIMEENDELEA KUPASUA ANGA HUKO CAF UNAAMBIWA NAMBA HAZIDANGANYI
Klabu za Tanzania zimeonekana kujitutumua katika mashindano ya klabu Afrika katika kipindi cha miaka 10 iliyopita kuanzia 2013 hadi 2023 kulinganisha na hapo nyuma ambapo…
Klabu za Tanzania zimeonekana kujitutumua katika mashindano ya klabu Afrika katika kipindi cha miaka 10 iliyopita kuanzia 2013 hadi 2023 kulinganisha na hapo nyuma ambapo…
YANGA imebakiza siku tano kabla ya kushuka uwanjani kuanza kazi kwenye mechi za hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika lakini kuna mambo mazito…
KLABU ya Yanga imetinga hatua ya tano bora kuwania tuzo ya klabu bora kwa wanaume kutoka CAF kwa mwaka 2023. Ikumbukwe kwamba Yanga kwenye Kombe…
Kwa muda mrefu mashindano ya Afrika [CAF Champions League na CAF Confederation Cup] yamekuwa yakitawaliwa na timu za Kaskazini mwa Afrika. Yanga kukutana na timu…
Shirikisho la soka Barani Afrika (CAF) limeukataa uwanja wa Cape Coast ambao klabu ya Medeama ilikuwa imepanga kuutumia katika michezo yake ya hatua ya makundi…
ACHANA na rekodi za nyuma. CAF wametaja klabu 10 kubwa kwa sasa zinazowania tuzo ya klabu bora ya mwaka 2023 Afrika. Tanzania imeingia Yanga ya…
Hongera kwa Yanga SC kwa kufanikiwa kuchaguliwa katika tuzo za CAF katika kipengele Cha Timu Bora ya mwaka ni kweli wanastahili sababu katika msimu uliopita…
Siwezi kuilinganisha Simba na Yanga kimataifa , Kimataifa Mfano wa Simba ni Simba yenyewe, Yanga hajakutana na team ngumu kimataifa misimu ya hivi karibuni kiasi…
Uongozi wa Klabu ya Simba imesema kuwa unatambua mchezo wao wa nusu fainali ya African Football League dhidi ya Al Ahly ni mgumu ndani na…
Wengine wanapenda kumuita Midfielder Teacher, Ni kiungo asiye na mambo mengi uwanjani. Always ni mtu wa kutimiza majukumu yake, Ni better kwenye tactical philosophy, tactical…