HAKUNA UNYONGE AL AHLY ANAPIGIKA MBONA
Ubora wa kikosi cha Simba ambao unazungumzwa kwenye midomo na mashabiki pamoja na viongozi ni vitu viwili ambavyo vinafikirisha. Haina maana kwamba wachezaji wa Simba…
Ubora wa kikosi cha Simba ambao unazungumzwa kwenye midomo na mashabiki pamoja na viongozi ni vitu viwili ambavyo vinafikirisha. Haina maana kwamba wachezaji wa Simba…
“Niachieni mimi,” hiyo ni kauli ya Kocha Mkuu wa Simba, Roberto Oliveira ‘Robertinho’ baada ya kuulizwa maandalizi yake kuhusu mechi ya marudiano ya African Football…
Simba imewasili jijini Cairo nchini Misri tayari kwa mchezo wa kesho wa marudiano ya African Football League dhidi ya Al Ahly lakini kuna mambo mawili…
Kocha Mkuu wa Simba SC Roberto Oliveira ‘Robertinho’ amefunguka kuwa tayari amepata mafaili muhimu ya wapinzani wake Al Ahly kuelekea katika mchezo wa ufunguzi wa…
Simba SC jana ilicheza mechi ya kirafiki ya kujiandaa na pambano la michuano mipya ya African Football League (AFL) kwa kuikandika Dar City mabao 5-1,…
Mtendaji Mkuu wa Simba, Imani Kajula, amesema marais wa FIFA na CAF ni miongoni mwa watu mashuhuru watakaofika kushuhudia mchezo wao wa ufunguzi dhidi ya…
Ikiwa imepita miezi kadhaa Wana-Yanga wakiwa na kumbukumbu mbaya baada ya kupoteza Kombe la Shirikisho Afrika, Kocha Mkuu wa USM Alger ya Algeria, Abdelhak Benchikha…
Kabla ya kivumbi cha Coastal na Azam leo usiku pale Tanga, Simba na Yanga zitakuwa kwenye mijadala mizito. Droo ya makundi ya Ligi ya Mabingwa…
Tanzania imeweka historia kwa mara ya kwanza timu zake mbili kutinga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, hii ni baada ya mapacha wa…
Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limepitisha ombi la pamoja la nchi za Kenya, Uganda na Tanzania kuandaa Fainali za Kombe la Mataifa ya…