Tag: Farhan jr
SIMBA SASA TUACHE KUJIFARIJI….. NJIA NI HII TU
Andiko la @jr_farhanjr kwenda kwa viongozi wa Simba SC;
Timu ilipokuwa haifanyi vizuri Mashabiki wakapiga sana kelele, zilipozidi kelele wakaitwa Mashabiki wenye nguvu haswa mtandaoni...