ROBERTINHO AUKUBALI MZIKI WA YANGA…… ASEMA HAYA
Kocha Mkuu wa Simba SC, Roberto Oliviera ‘Robertinho’ amewapongeza wapinzani wao wa jadi Yanga SC kwa kushinda dabi waliyoipiga jana Novemba 5, 2023 na kuibuka…
Kocha Mkuu wa Simba SC, Roberto Oliviera ‘Robertinho’ amewapongeza wapinzani wao wa jadi Yanga SC kwa kushinda dabi waliyoipiga jana Novemba 5, 2023 na kuibuka…
Ni siku ya furaha sana katika kazi yangu ya ukocha, tumepata ushindi dhidi ya tibu bora [Simba]. Wachezaji wangu wamecheza vizuri sana kwa bidii, kujituma…
Leo kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa patachimbika, hii ni siku ambayo itakuwa mwisho wa ubishi, nyodo na tambo wakati miamba miwili ya soka nchini, Simba…
SKUDU Makudubela nyota wa Yanga ameweka wazi kuwa hana tatizo lolote na benchi la ufundi la timu hiyo linalonolewa na Kocha Mkuu, Miguel Gamondi. Nyota…
Wakati homa ya pambano la Watani wa jadi ikizidi kupanda, Kocha Mkuu wa Young Africans, Miguel Angel Gamond amesema dakika 130 alizowaangalia Simba zimemtosha kuwasoma…
Jumapili ya Novemba 05 mwaka 2023 mishale ya saa 11 jioni, Miamba ya Soka la Bongo (Simba SC na Young Africans) itakwenda kukutana kwa mara…
Ni Miguel Gamondi, Kocha Mkuu wa Yanga amewasoma wapinzani wao Simba kwa muda wa dakika 180 baada ya kuwachambua wapinzani wake.Novemba 5 Yanga wanatarajiwa kuwa…
Zikisalia siku nne tu kabla ya mchezo wa watani wa jadi, Simba SC na Young Africans, Kocha Mkuu wa Young Africans, Miguel Angel Gamondi, amesema…
Ofisa Habari wa Klabu ya Simba Sc, Ahmed Ally amesema kuwa, Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi alikwenda jana kwenye Dimba la Mkapa kujifunza mbinu…
Kocha wa Yanga, Miguel Gamondi ameeleza kuwa timu yake inapata ushindi mkubwa na kwenye mechi ngumu kwa sababu wachezaji na timu yake wanacheza kibingwa. Gamondi…