Habari za Michezo
Habari za michezo

GAMONDI AFUNGUKA HAYA BAADA YA KUWAKANDA SIMBA

Staff Desk November 6, 2023 6:22 am

Ni siku ya furaha sana katika kazi yangu ya ukocha, tumepata ushindi dhidi ya tibu bora [Simba].

Wachezaji wangu wamecheza vizuri sana kwa bidii, kujituma na nidhamu, naamini mashabiki wetu wamefurahi.

Tulitangulia kufunga goli kipindi cha kwanza lakini tulishindwa kulilinda, wakati wa mapumziko niongea na wachezaji ni lazima tucheze vizuri kwa namna ambavyo tumepanga kucheza. Tutulie na mpira, tumiliki mpira na tucheze kwa style yetu.

YAANI MPAKA MSEME……YANGA IMELIPA KISASI CHA KUPIGWA BAO 5-0 MWAKA 2012 YANGA WAMKOSHA SAMIA AWAPA NENO LA FURAHA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply