GAMONDI AFUNGUKA HAYA MALIPO UBINGWA PAWEKWA WAZI
Kikosi cha Yanga juzi hakikulala jijini Mbeya, kwani mara baada ya kupoteza mabao 2-1 mbele ya wenyeji wa Ihefu, ikiwa ni mara ya pili mfululizo…
Kikosi cha Yanga juzi hakikulala jijini Mbeya, kwani mara baada ya kupoteza mabao 2-1 mbele ya wenyeji wa Ihefu, ikiwa ni mara ya pili mfululizo…
Jana usiku Klabu ya Yanga sc ‘Wananchi’ walifika salama jijini Mbeya tayari kwa mchezo wa ligi kuu ya NBC ambao unatarajiwa kupigwa Oktoba 04, 2023…
Kocha Mkuu wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans, Miguel Angel Gamondi amesema siri ya wao kutinga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa…
Kama wewe ni shabiki wa Yanga na ulikuwa unajiuliza kwanini winga kutoka Sauzi, Mahlatse ‘Skudu’ Makudubela hachezi licha ya kupona kutoka majeraha, basi kuna sapraizi…
Kocha wa Yanga, Miguel Gamondi katika kuhakikisha anapata ushindi kwenye mchezo wao dhidi ya Al Merrikh, kesho Jumamosi ameonekana kuwaongezea dozi ya mazoezi wachezaji wake…
Wakati Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans wakitarajia kuchuana na Al Merrikh keshokutwa Jumamosi (Septemba 30), Kocha Miguel Gamondi, amewataka mabeki wake kuongeza umakini…
Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi amesisitiza kuwa katika kikosi chake anataka kuona kila mchezaji anaweza kufunga mabao pale anapopata nafasi. Katika misimu miwili iliyopita,…
Vikosi vya Simba na Yanga zinaendelea kujifua kwa ajili ya mechi za marudiano za Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kila moja kutoka kupata ushindi…
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
Inawezekana mashabiki wa Yanga wanafurahi lakini hakuna mtu mwenye presh kubwa kama Gamondi kwa sababu mtangulizi wake [Nabi] kafanya vitu vikubwa ambavyo Gamondi anapambana kuvifikia.…