Home Tags Habari za Michezo

Tag: Habari za Michezo

CEO WA SIMBA ATUSAIDIE…HIZO LOGO MBILI ZA MO XTRA NI ZA...

0
Mchambuzi wa masuala ya soka nchini kupitia Clouds FM na shabiki wa Klabu ya Simba, Farhan Kihamu amehoji uwepo wa (utambulisho wa biashara) logo...

NGOWI:- JEZI ZA YANGA KWA MISIMU MITANO IJAYO ZIKO TAYARI…..

0
Mbunifu maarufu wa mavazi nchini ambaye amekuwa akibuni jezi za Klabu ya Yanga, Sheria Ngowi amesema kuwa tayari ameshamaliza kubuni na kuandaa jezi za...

KUELEKEA MECHI NA ASEC ….MASTAA HAWA SIMBA WAPEWA ‘HIRIZI’ ZA MCHEZO...

0
Kuelekea kwenye mchezo wa kimataifa wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya ASEC Mimosas nyota wa Simba wamepewa zigo zito kuhakikisha wanapata matokeo chanya...

BAADA YA KUONA WANAMCHELEWESHA…..ADEL ZRANE AANZA KUJIVUTIA SIMBA MWENYWE…

0
MABOSI wa Simba wameng’atwa sikio na aliyekuwa kocha wao wa viungo, Adel Zrane akiwaambia wasifanye makosa kumuacha kocha Jadi Radhi ambalo wapo nalo mezani. Radhi...

KWA BALAA HILI LA PHIRI….ASIPOCHEZA KWA SIMBA HII YA SASA ASEPE...

0
Mshambuliaji wa Simba, Moses Phiri huenda ameendelea kuwakosha Cadena na Matola na sasa wanafikiria kumuanzisha mechi na Asec Mimosas, Jumamosi hii. Phiri mwenye mabao matatu...

BOSI YANGA ANUNUA UGOMVI WA SIMBA NA WAARABU….ISHU NZIMA IMEKAA HIVI…

0
UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa hesabu katika Ligi ya Mabingwa Afrika ni kupata pointi tatu kwenye kila mchezo ikiwa ni pamoja na Waarabu...

KUELEKEA MECHI ZA CAF KLABU BINGWA…..SIMBA WAITAMBIA ASEC MASHABIKI WA KWA...

0
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa utawaonyesha nguvu ya mashabiki wapinzani wao ASEC Mimosas kwa vitendo kwa kujitokeza kwa wingi kwenye mchezo huo. Novemba 25...

KUELEKEA MECHI YA LEO DHIDI YA MOROCCO…TAMU NA CHUNGU KWA TAIFA...

0
KIKOSI cha timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’, leo wanakibarua kigumu za kuchanga vema karata zake katika mchezo wa pili wa kufuzu kombe...

KUHUSU MRITHI WA ROBERTINHO ….UONGOZI SIMBA WAJA NA TAMKO HILI LA...

0
UONGOZI wa Simba umevunja ukimya na kueleza sababu ya kutaka kupata Kocha aliyebora ambaye watakuwa nao kwenye mipango ya muda mrefu hali iliyopelekea kushindwa...

ILE ISHU YA ZRANE KURUDI SIMBA UKWELI WOTE HUU HAPA….KIGOGO AFUNGUKA...

0
WAKATI tetesi zikieleza kuwa jina la Adel Zraine aliyewahi kuwa kocha wa viungo wa Simba lipo mezani, bosi ndani ya timu hiyo kafunguka kuhusu...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS