Habari za Yanga
Habari za michezo

NGOWI:- JEZI ZA YANGA KWA MISIMU MITANO IJAYO ZIKO TAYARI…..

admin November 23, 2023 8:55 pm

Mbunifu maarufu wa mavazi nchini ambaye amekuwa akibuni jezi za Klabu ya Yanga, Sheria Ngowi amesema kuwa tayari ameshamaliza kubuni na kuandaa jezi za misimu mitano ijayo.

Kauli hiyo ya Ngowi ameitoa wakati akihojiwa na Clouds FM ikiwa ni saa chache baada ya Yanga kuachia uzi mpya kwa ajili ya michuano ya Kimataifa ya CAFCL itakayoanza kesho huku akisema kuwa anasubiri uongozi wa Yanga upitishe tu.

“Sifikirii kufanya kazi na klabu nyingine, nimeamua hilo kwa sababu naheshimu riziki Yangu ndani ya Yanga.

“Tayari jezi za misimu mitano mbele za Yanga nimeshamaliza kuzibuni na ninachosubiri kwa sasa ni ruhusa Kwa viongozi nizitoe muda ukiwadia,” amesema Ngowi.

KISASI CHA 5G KULIPWAAA!!?…..TFF WAZIKUTANISHA TENA SIMBA NA YANGA…. CEO WA SIMBA ATUSAIDIE…HIZO LOGO MBILI ZA MO XTRA NI ZA NINI KWENYE JEZI..?

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply