Tag: Habari za Michezo
MANGUNGU NA TRY AGAIN WAGOMA KUJIUZULU…SIMBA MOTO UNAWAKA
HABARI ZA SIMBA LEO; Iko wazi sasa Mwenyekiti wa klabu hiyo Murtaza Mangungu na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi, Salim Abdallah ‘Try Again’ wamesema...
BAJETI YA YANGA NI BIL 24.5…SIMBA BADO HAKUELEWEKI
MABINGWA wa Ligi kuu na Kombe la Shirikisho Yanga SC wametaja bajeti ya klabu hyio kwa msmu uliopita, ambapo kwa msimu ujao Bajeti yao...
MHE HAMIS KIGWANGAlLA AMJIA JUU MO DEWJI…SIMBA INAKUDAI PESA NYINGI
WAKATI ambao Muwekezaji wa Simba Mohamed Dewji MO akipanga mipango ya msimu ujao, akiwa ameanza na wajumbe wake kuwataka wajiuzulu, kumeibuka mambo mengi na...
BEKI WA SIMBA, YANGA AFARIKI DUNIA…
HABARI zilizotufikia hivi punde ni kwamba beki wa zamani Tukuyu Stars, Simba na Yanga, Seleman Mathew amefariki dunia asubuhi ya leo katika Hospitali ya...
YANGA KUFANYA UMAFIA…JEAN BALEKE AFICHWA HOTELINI
MABINGWA wa Ligi Kuu Tanzania Bara Yanga wana jambo lao kubwa Juni 9 2024 ambapo ni Mkutano Mkuu wa Wanachama, (Annual General Meeting-AGM). Lakini...
SILAHA YA AZIZ KI NI HAPA…KILA KITU KITAJULIKANA
KIUNGO Mshambuliaji wa Yanga na Mfungaji bora wa Ligi kuu ya NBC AZIZ Ki unaambiwa ujanja wake ndani ya uwanja ni mguu wa kushoto,...
METACHA ASEPA YANGA…IHEFU WAHUSIKA NA SHOW
METACHA MNATA Deal Done!! Unaweza kusema hivyo Yes! Uongozi wa Singida Black Star zamani (Ihefu) imekamilisha usajili wa nyanda hili la Yanga a timu...
TATIZO LA SIMBA NI MO DEWJI…HATAKI WAWEKEZAJI WENGINE
WAKATI watu wengi wanajiuliza tatizo la Simba ni nini? Jibu ni jepesi sana, tatizo kubwa la Simba ni Mo Dewji Lengo kubwa la huyu...
KIMENUKA…VIONGOZI WA MATAWI SIMBA WAITANA…KIKAO KIZITO KUFANYIKA LEO
SIKU chache tangu Uongozi wa Simba kutangaza mabadiliko makubwa, huku baadhi ya Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Lunyasi wakiachia ngazi, viongozi wa matawi...
INJINIA HERSI AVUNJA UKIMYA YANGA…USAJILI UKO HIVI…
UONGOZI wa Yanga chini ya Injinia Hersi Said umedhamiria kufanya mabalaa kwenye usajili wa dirisha hili linalokaribia ufungulia wiki ijayo June 15, ambapo majina...