Tag: Habari za Michezo
KANUNI ILIYOWAONDOA TRY AGAIN NA WENZAKE SIMBA…MO DEWJI HAJAVUNJA SHERIA
PAMOJA na habari zote kusambaa kuhusu kujiuzulu kwa Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Simba SC, swali ambalo wengi wamekuwa wakijiuliza ni uhalali wa...
SABABU ZILIZOMFANYA MO DEWJI KUTIMUA WAJUMBE SIMBA
Ni takribani siku ya tatu sasa kuna mambo kibao yanaendelea ndani ya Simba. Tajiri Mohamed Dewji ‘MO’ ameingia msituni mwenyewe kufanya mawindo ya wachezaji...
KOCHA WA SIMBA PATRICK AUSSEMS ARUDI BONGO
Aliyekuwa kocha Mkuu wa Simba SC Patick Aussems kwa misimu ya 2018-2020 amerudi tena Tanzania kuendeleza maisha ya ukocha, baada ya kuachana na AFC...
RASHID SHANGAZI AELEZA SABABU ZA KUJIUZULU SIMBA…AMTAJA MO DEWJI
Mbunge wa Jimbo la Mlalo na aliyekuwa mjumbe kamati ya bodi ya wawekezaji wa Simba SC kupitia upande wa mwekezaji Mohamed Dewji "MO", Rashid...
HENOCK INONGA ANAFOSI KUONDOKA… SIMBA WAWEKA KIGINGI
Inaelezwa kwamba, Henock Inonga Baka amepata timu hivyo ameuambia Uongozi wa klabu hiyo, anahitaji kuondoka msimu huu, lakini Simba wamemueleza kwamba bado ana mkataba...
AISHI MANULA, KAPOMBE, BOCCO…WATAKIWA NA AZAM FC
AZAM FC imeanza kuwafuatilia baadhi ya nyota wake kutoka Simba SC, Shomary Kapombe, Aishi Manula, Erasto Nyoni na John Bocco ni baadhi ya wachezaji...
MCHEZAJI WA ZAMANI SIMBA…AISHITAKI TIMU YAKE FIFA
Aliyekuwa Kingo wa zamamni wa Simba Raia wa Ghana Nicholas Gyan, anayeitumika Singida Fountaine Gate, ameifungulia madai, timu hiyo kwenye Shirikisho la Kimataifa la...
VITA KALI SIMBA…LAMECK LAWI & YUSUPH KAGOMA WAHUSIKA
Lameck Lawi na Yusuph Kagoma wana vita ngumu iliyowashinda wazawa wengi ndani ya kikosi cha Simba kwa misimu mingi mfululizo, wachezaji hao wameshamwaga wino...
SIMBA QUEENS WAANDAA SHEREHE ZA UBINGWA…ALLIANCE GIRLS WATOA KAULI YA KIBABE
SIMBA Queens Inahitaji ushindi kwenye mchezo wa leo dhidi ya Alliance Girls, ili kutwa ubingwa wa Ligi ya Wanawake msimu 2023/24.
Simba Queens itakuwa ugenini...
KIPA YANGA AOMBA KUONDOKA…MSHERY ATHIBITISHA
PIGO jingine kwa Yanga, Kipa namba mbili wa klabu hiyo Abuutwalib Mshery ameomba kuondoka na kusaka timu ambayo itampa nafasi ya kucheza ili kulinda...