Tag: Habari za Michezo
WALICHOSEMA AZAM FC KABLA YA MCHEZO WA FAINALI NA YANGA SC
Afisa Habari wa AZAM FC Hasheem Ibwe amewapiga mkwara mzito Yanga SC kuelekea mchezo wa fainali, Kombe la Shirikisho huko Zanznbiar.
Mchezo huo wa Kombe...
YANGA YAWATEGA AZAM FC…FAINALI YA KISASI ZANZIBAR
MUDA wa kutafutana ubaya umefika, leo Juni 2, 2024 ndiyo siku ya fainali ya Kombe la Shirikisho la CRDB, kati ya Azam FC dhidi...
MTOTO HATUMWI DUKANI…FAINALI YA UEFA REAL MADRID vs BORUSSIA DORTMUND
Ukisikia mtoto hatumwi dukani basi ni leo kwani inakwenda kupigwa mechi ya kihistoria katika fainali ya ligi ya mabingwa barani ulaya kati ya Real...
MGUNDA AMTABIRIA MAKUBWA JOHN BOCCO…”UKIMUULIZA ATANITAJA”
EL CAPITANO PAPAA John Bocco, Jina kubwa kuwahi kutokea kwenye ardhi ya Tanzania, Mitaa ya Msimbazi inamfahamu kwa mabao yake matamu, Mitaa ya Chamanzi...
MO DEWJI AKUBALI KURUDI SIMBA…AANZA NA JINA HILI KUSAJILI
INAELEZWA kwamba Rais wa heshima na muwekezaji wa klabu ya Simba SC, Mohammed Dewji (MO Dewji) amekubali kufanya kazi kwa karibu zaidi na Uongozi...
AZIZ KI AMUAMSHA AMIS TAMBWE…MVP WA LIGI KUU?
REKODI ya mabao 21 aliyofunga Stephen Aziz Ki msimu 2023/24 imeonekana kumshtua mshambuliaji wa zamani wa Yanga Amis Tambwe, na kutuma ujumbe wake kwa...
YANGA YAPIGA HESABU KALI FA…MASHABIKI HUMU TU
MABINGWA watetezi wa Kombe la Shirikisho Yanga SC wameanza kupiga hesabu kali kuelekea mchezo wao wa fainali dhidi ya Azam FC iliyomaliza nafasi ya...
JONAS MKUDE ANOGESHA MAZOEZI YA YANGA Z’BAR
Mazoezi ya Yanga yameoga sana! ambapo Jonas Mkude, ni miongoni mwa nyota wa Yanga wanaofanya mazoezi kuelekea fainali ya Kombe la Shirikisho (FA) dhidi...
YANGA BABA LAO UBINGWA WA FA…SIMBA WAFUATA NYUMA
UNAWEZA kusema kwamba Klabu ya Yanga ni Baba lao kwenye michuano hii ya Shirikisho, ambapo imechukua ubingwa mara 7, ikufuatiwa na Simba mara 4....
BREAKING NEWS: SIMBA SC YAANZA NA MAGORI & NKWAMBI
Mnyama Simba SC ameanza kuonesha makucha yake baada ya kukaa kinyonge kwa misimu mitatu mtawalia bila ubingwa wa Ligi Kuu Bara, ambapo kwa miaka...