Tag: habari za yanga
SUALA LA USHAMBULIAJI YANGA SIO SHIDA KWA GAMONDI
UWEPO wa washambuliaji zaidi ya wawili katika Klabu ya Yanga unatoa picha kwamba kazi ipo katika eneo hilo kwa kuwa hakuna mwenye uhakika wa...
TFF ILIKOSEA HAPA SAKATA LA KAGOMA NA YANGA
Uamuzi wa Shirikisho la Kimataifa la Soka (Fifa) kuzuia shughuli za michezo kwenda katika mahakama za kawaida si tu kwamba ulilenga shughhuli za mpira...
NASREDINE NABI AWAPA USHAURI HUU AZAM FC
KOCHA wa Kaizer Chiefs, Nasredine Nabi amewatuliza mashabiki na mabosi wa Azam FC kwa kuwaambia wampe muda kocha mpya kwani ana kitu atawafikisha mbali.
Nabi...
AZIZ KI AWAITA MASHABIKI ZANZIBAR…ANAZITAKA DAK 90
KIUNGO Mshambuliaji wa Yanga, Stephanie Aziz KI amesema bado hawajamaliza kuna dakika 90 nyingine pale New Amaan visiwani Zanzibar.
Yanga imewasili jijini Dar es Salaam...
GAMONDI KACHEFUKWA…AWAVAA WACHEZAJI WAKE
Yanga imerejea jana mchana ikitokea Ethiopia ilikokwenda kuvunja mwiko wa kupata ushindi wa kwanza ndani ya ardhi ya nchi hiyo kwa kuichapa CBE SA...
SIRI YA USHINDI WA YANGA UGENINI IKO HAPA
Unaweza kusema Kocha Miguel Gamondi amekuja Yanga kwa ajili ya kufanya yasiyowezekana yawezekane kwani hadi sasa ameifanya timu hiyo kuwa tishio katika michuano ya...
HIZI HAPA MECHI ZA UHAKIKA LEO⦠ZINA ODDS KUBWA
Mechi mbalimbali zinaendelea leo huku mabingwa wa ODDS KUBWA Tanzania Meridianbet wakikwambia kuwa leo hii usipotusu utatusua lini?. Ingia www.meridianbet.co.tzna ubashiri kijanja hapa.
Ligi ya...
SIO TU AZIZ KI, PACOME ANA BALAA LAKE.
MASHABIKI wa Yanga wamekuwa wakiliimba sana jina la Stephane Aziz KI ndiye nyota hatari katika kikosi hicho kutokana na msimu uliopita kuibuka Mfungaji Bora...
MAKAMBO ARUDI KWA MBWEMBWE BONGO…ATANGAZA VITA
Mshambuliaji wa wa zamani wa Yanga anayekipiga na Wana Nyuki Tabora United, Heritier Makambo βMzee wa Kuwajazaβ amesema kuna mabadiliko makubwa ya ubora katika...
PRINCE DUBE AWAOMBA MSAMAHA…YANGA IKIVUNJA UTEJA WAO KWA WAHABESHI
BAO moja lililofungwa na Prince Dube dakika 45 kipindi cha kwanza dhidi ya CBE SA ya Ethiopia lilitosha kuitanguliza Yanga mguu mmoja mbele katika...