Tag: habari za yanga
KOCHA VITAL’O AIONYA YANGA LEO
Kocha Mkuu wa Vitalo FC Sahabo Parris amesema klabu yake imejiandaa vilivyo kupambana na Yanga SC katika Mashindano ya Klabu Bingwa Afrika.
Katika mkutano na...
YANGA KIBARUANI LEO KUUSAKA UBINGWA WA AFRIKA
MABINGWA wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga, wanatarajia kukutana na Vital'O kutoka Burundi katika mechi ya kwanza ya mashindano ya kimataifa ya Ligi ya...
SIMBA NA YANGA KUOGA MAMILIONI YA CAF
Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (Caf) limetangaza kutoa kiasi cha Dola 50,000 kwa kila timu inayoshiriki Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la...
METACHA APAMBANIA TUZO NA MATAMPI
ALIYEKUWA Mlinda Mlango wa zamani wa Yanga kwa sasa anadakia Singida Black Stars, Metacha Mnata amesema msimu huu anaitaka ile tuzo ya kipa bora...
GSM AMBADILIKIA MAGOMA…ANATAKA MIL 100
Mwanasheria Simon Patrick kwa niaba ya Mteja wake Ghalib Said Mohammed (GSM) wamemuandikia Demand Letter Notice Mwanachama wa Yanga Juma Ally Magoma wakitaka fidia...
BARUA YA WAZI KWA DENIS NKANE & SHOMARY KIBWANA…MUDA WA KUONDOKA...
Kwenu wanangu kabisa Rafiki zangu Mimi wa nguvu, line yangu kabisa nawakubali bila Shaka ni wazima huko kwenye majukumu yenu Mimi nataka niwape ujumbe...
MAVUNDE AFUNGUKA UGUMU USAJILI WA AUCHO…TULIKESHA AIRPORT
Mwanachama wa Klabu ya Yanga na Mlezi wa klabu ya Dodoma Jiji, Anthony Mavunde amesema kuwa wakati wa usajili wa kiungo mkabaji, Khalid Aucho,...
TULIKAA KINYONGE SANA…MUDA WA KUFURAHI NA KUNUNA UMERUDI…LIGI KUU YA MOTO
Sasa kazi inaanza rasmi. Ligi Kuu Bara inaanza leo Ijumaa, lakini kesho kuna mechi nyingine nne za ligi hiyo ukiwamo ule wa Simba dhidi...
CLEMENT MZIZE ANAHITAJIKA ZAIDI WYDAD…WAARABU HAWAJAKATA TAMAA
KLABU ya Wydad Casablanca ya nchini Morocco haijaondoa Kabisa uwezekano wa Kupata Saini ya Clement Mzize ingawa Yanga Africa hawapo tayari kufanya hii Biashara...
FISTON MAYELE AKOSA UFUNGAJI BORA
Mshambuliaji wa Klabu ya Pyramids ya nchini Misri Fiston Kalala Mayele ameshindwa kuwa mfungaji wa Ligi Kuu ya Misri mara baada ya kufanikiwa kufunga...