Tag: habari za yanga
ORODHA YA WASANII WALIOHAMA SIMBA NA YANGA
WAPO wanaosema ni kabila tu mtu ndio hawezi kuhama, lakini imani ya dini watu wanahama. Wapo wanaohama vyama vya kisiasa na hata kwa ishu...
MANARA AMSILIMISHA HAMISA MOBETTO…AHAMIA YANGA
MSEMAJI wa Klabu ya Yanga, Haji Manara 'Bugatti' amesema amemsilimisha rasmi Mwanamitindo maarufu nchini, Hamisa Mobetto kuwa shabiki wa timu hiyo ya Jangwani kutoka...
CHAMA AIBUA HISIA TOFAUTI YANGA…UTAMBULIHO WAKE NI BALAA.
UTAMBULISHO wa mchezaji mpya wa Yanga, Clatous Chota Chama, umeibua shangwe la mashabiki wa timu hiyo kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa.
Chama amejiunga na Yanga...
YANGA YAMPA MITATU DIARRA…NYIE HAMUOGOPI?
MLINDA Mlango wa Yanga, Djigui Diarra amesaini mkataba mpya wa miaka mitatu wa kuendelea kukitumikia kikosi hicho hadi mwaka 2027.
Hatua hiyo imejiri katika utambulisho...
MANULA, ONANA, LAWI WAKOSEKANA SIMBA…CHAMA LAO LIKO HIVI
SIMBA imetambulisha kikosi cha wa wachezaji 30 kwa ajili ya msimu 2024/25 huku majina ya Lameck Lawi na Israel Mwenda yakikosekana.
Simba walimtambulisha Lawi kama...
MASHABIKI YA YANGA…NYIE HAMUOGOPI KWA YANGA HII.
KILELE cha Wiki ya Mwananchi (Yanga Day) kinahitimishwa leo Agosti 4, katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, jijini Dar es Salaam kwa klabu hiyo kutambulisha...
FREDY FUNGA FUNGA ATABAIRIWA MAKUBWA SIMBA
MSHAMBULIAJI wa Simba, Fredy Michael ametabiriwa kuwa mfungaji bora wa Ligi Kuu Bara msimu ujao, huku Kibu Denis akisamehewa na wana Msimbazi baada ya...
AZIZ KI ATOA NENO KABLA YA KILELE CHA WANANCHI
BAADA ya kutwaa tuzo nne za msimu uliopita, kiungo mshambuliaji wa Yanga, Stephane Aziz Ki amesema anajisikia kubarikiwa huku akimtaja kocha wa timu hiyo,...
WASHINDI WOTE WA TUZO ZA TFF 2023/24
Usiku wa Tuzo za TFF ulikuwa ni Agosti Mosi, na wachezaji na wadau wengi wa soka walishinda tuzo zao, miongoni mwa wachezaji hao ambao...
AUCHO AWAGAWANA VIONGOZI…TFF WASHINDWA KUELEWA.
KITENDO cha jina la kiungo wa Yanga, Khalid Aucho kutokuwa kwenye orodha ya wachezaji walioteuliwa katika kikosi bora cha msimu uliopita wa 2023/24 kimewaibua...