Tag: habari za yanga
SIMBA YAIGALAGAZA YANGA KWA KIUNGO HUYU
BAADA ya watani wa jadi kugombania saini ya kiungo wa JKT Queens, Amina Bilal hatimaye Simba Queens imefanikiwa kuizidi akili Yanga Princess na kumnasa...
GAMONDI AWAFAGILIA DUBE NA BALEKE
KOCHA Miguel Gamondi anashindwa kujizuia na kuchekelea kimtindo namna washambuliaji wapya wa timu, Prince Dube na Jean Baleke walivyoanza maisha ndani ya timu hiyo,...
YANGA NA VITAL’O ZOTE KUPIGWA DAR…YANGA MTELEZO TU
Klabu ya Vital’O ya Burundi imehamishia mechi yao ya nyumbani wa hatua ya awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Yanga kwenye uwanja...
YANGA HAIFIKIRII USHINDI…USHINDANI WA NAMBA GAMONDI APAGAWA.
MIGUEL Gamondi, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa hawafikirii ushindi kwenye mechi za kirafiki hivyo kupata ushindi ni matokeo ambayo yanawaongezea nguvu kuendelea kupambana...
DILI LA MAXI NA KAIZER…GAMONDI AINGILIA KATI
KOCHA Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi ni kama amefunga mjadala juu ya dili la Maxi Nzengeli anayetajwa kutakiwa na Kaizer Chiefs akisema hakuna mchezaji...
DUBE AANZA KUFANYA VITU VYAKE YANGA.
Klabu ya Yanga imefanikiwa kuibuka na ushindi mwembamba wa bao 1-0 dhidi ya TS Galaxy ya Ligi Kuu nchini Afrika Kusini kwenye mechi ya...
LAKRED HATIANI KUIKOSA DABI YA KARIAKOO…SIMBA NA YANGA
MLINDA Mlango wa Simba, Ayoub Lakred huenda akakosa mchezo wa Ngao wa Jamii utakaoihusisha timu hiyo dhidi ya Yanga Agosti 8, mwaka huu kwenye...
AZIZ KI NA FEISAL KUWANIA TUZO YA MCHEZAJI BORA.
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania TFF, limetoa orodha ya wachezaji wanaowania tuzo mbalimbali katika vinyang'anyilo tofauti, huku tuzo ya mchezaji bora wa Ligi...
KOCHA WA ASEC ATOBOA UWEZO WA AHOUA WA SIMBA
Kiungo mpya wa Simba, Jean Ahoua anafanya mabalaa tu huko Misri akipiga bao mbili kwenye mchezo wa kwanza wa kirafiki wa wekundu hao, na...
MSIMAMIZI WA KIBU DENIS…AFUNGUKA KUTOROSHWA KWA MCHEZAJI WAKE
Msimamizi na Mwanasheria wa Mchezaji Kibu Dennis, Rashid Yazidu wa Kampuni ya Football Fraternity amefunguka mapya juu ya sakata la mshambuliaji huyo wa Simba...