Tag: habari za yanga
MSIKIE PACOME ZOUZOUA KUHUSU USAJILI WA YANGA.
KIUNGO wa Yanga, Pacome Zouzoua amezungumza usajili mpya wa kikosi hicho, huku akitoa msimamo wake, kwa Kuwataja Jean Baleke, Prince Dube na Clatous Chama...
GAMONDI WALA HANA HOFU NA KOSI LAKE.
YANGA baada ya kupoteza mchezo wake wa kwanza wa kirafiki ndani ya maandalizi ya kuelekea msimu mpya, wala hajaumizwa na matokeo hayo lakini akawapa...
AZIZ KI ATOBOA UKARIBU WAKE NA CHAMA ULIPOANZIA
MFUNGAJI Bora wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu uliopita, Stephane Aziz Ki, amefichua siri baina yake na mchezaji mpya kwenye klabu hiyo, Clatous Chama...
BALEKE ATANGAZA VITA NA PRINCE DUBE…KAZI KAIANZA.
INGIZO jipya ndani ya kikosi cha Yanga, Jean Baleke ameanza kwa zali la kufunga kwenye mchezo wake wa kwanza akiwa na uzi wa njano...
WACHEZAJI 7 WA YANGA WALIOFANYA VIZURI AFRIKA KUSINI.
Unaweza kusema Yanga sio inshu sana kupoteza mchezo wa jana, kwani lengo sio ushindi ila lengo ni kutesti mitambo kuelekea Mashindano mbalimbali, katika mchezo...
LOMALISA ALIA NA YANGA KUMSALITI.
LICHA ya kupata dili la kuichezea G.D. Sagrada Esperanca ya Angola, beki wa kushoto aliyeachwa Yanga, Joyce Lomalisa amelia na mabosi wa klabu hiyo...
MAHAMAKAMA YAKUBALI OMBI LA YANGA…KESI YAO KUSOGEZWA MBELE
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Jijini Dar es salaam imekubali ombi la klabu ya Yanga ya kusogezwa mbele kwa muda wa kusikilizwa kesi iliyofunguliwa...
KWANINI PACOME HAYUPO SAUZI NA YANGA…SABABU NI HIZI
BAADA ya sintofahamu ya kiungo mshambuliaji wa Yanga, Pacome Zouzoua kutoongozana na kikosi cha timu hiyo kwenda Afrika Kusini, Tumezinyaka sababu ziliyomfanya asiwe sehemu...
YANGA YAONGEZA MWINGINE…USAJILI WA DAMU CHANGA
KATIKA msafara wa Yanga ulioondoka juzi kuelekea Afrika Kusini kuna bosi mpya wamemjumuisha aliyeanza kazi kimyakimya.
Kwenye msafara huo wa Yanga uliongozwa na Rais wa...
YANGA KUTESTI JESHI LAKE LEO…VS FC AUGSBURG
KIKOSI CHA WANANCHI jioni ya leo kitashuka Uwanja wa Mbombela, uliopo Mpumangala Afrika Kusini kuvaana na FC Augsburg inayoshiriki Bundesliga ya Ujerumani, huku ikiwa...