Tag: habari za yanga
JOSEPH AMUACHIA BALEKE NAMBA… YANGA YAMPA THANK YOU
MABOSI wa Singida Black Stars hawataki utani ambapo kwenye safu ya ushambuliaji wamemuongeza mtambo wa mabao Joseph Guede ambaye msimu uliopita wa 2023/24 alikuwa...
MKENYA DUKE ABUYA ATUA YANGA NA MKWARA MZITO
MASHINE ya Kusaga na Kukoboa Duke Abuya raia wa Kenya ambaye ni kiungo aliyekuwa ndani ya Singida Black Stars atakuwa kwenye anga la kimataifa...
NUNGUNUNGU ALIWA KICHWA JANGWANI…KAMWE AFUNGUKA
Taarifa zinaeleza kua kiungo wa zamani wa klabu ya Simba Jonas Mkude "Nungunungu" huenda akapewa mkono wa kwaheri ndani ya klabu ya Yanga baada...
YANGA WANATAMABA NA TIMU YAO…ALI KAMWE HAAMBILIKI
UONGOZI wa Mabingwa wa Kihistoria Yanga umebainisha kuwa una timu bora kwa sasa kutokana na usajili bora waliofanya kwa wachezaji wazuri na kuhakikisha wachezaji...
WAPINZANI WA SIMBA, YANGA NI HAWA…AZAM NA COASTAL PAGUMU
Droo ya Mashindano ya Kimataifa Afrika, Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la SHIRIKISHO zote zimechezeshwa Misri, na macho ya wengi yalikuwa ni kuwafahamu...
CHAMA AMUONDOA MUDATHIR YANGA…GAMONDI MTEGONI
USAJILI WA KIUNGO Clatous Chama ni furaha kwa mashabiki wa Yanga lakini huenda ukawa ni mtihani mzito sana kwa Mudathir Yahya ambaye nafasi ya...
BALEKE ALIAMSHA YANGA…AONEKANA MAZOEZINI.
MSHAMBULIAJI wa zamani wa Simba, Jean Baleke Inaelezwa kuwa amesaini mkataba wa mwaka mmoja Yanga, baada ya kufuzu vipimo vya afya juzi na tayari...
MIGUEL GAMONDI…KAWEKA WAZI KIKOSI CHAKE.
Kocha wa Yanga, Miguel Gamondi amesema licha ya usajili wa mastaa waliosajiliwa katika timu hiyo, hana hofu ya kupanga kikosi.
Gamondi amesema kikosi kitakuwa kinapangwa...
SMBA, YANGA KUWAJUA WAPINZANI WAO LEO KIMATAIFA.
DROO ya Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho Afrika itachezeshwa leo Cairo Misri, kujua ni timu zipi zitacheza hatua ya awali ya michuano...
BREAKING NEWS…STEPHEN AZIZ KI YUPO SANA YANGA…AKUBALI KUBAKI
HATIMAYE Imejulikana, Mashabiki wa Wapenzi wa Yanga waliokuwa roho juu, presha inapanda na kushuka sasa hali shwarii. Ni baada ya uongozi wa klabu hiyo...