Tag: habari za yanga
KIBWANA SHOMARI YUPO SANA YANGA.
UONGOZI wa klabu ya Young Africans SC, umemuongeza mkataba wa miaka miwili beki wao wa kulia, Kibwana Shomari kuendelea kuitumikia klabu hiyo, mkatab huo...
ALIYEGOMEA MKATABA YANGA…ATAMBULISHWA SIMBA
KLABU YA Simba SC Imetangaza kuinasa saini ya Kiungo wa Ulinzi Yusuph Kagoma (28) kwa mkataba wa miaka mitatu hadi msimu wa 2026/2027.
Awali mchezaji...
NDOTO YA YANGA ILIYOHAMIA SIMBA…FEI TOTO ANUKIA MSIMBAZI
BAADA ya mawindo ya muda mrefu, Yanga imefanikiwa kupata saini ya kiungo Mzambia Clatous Chama kutoka Simba na tayari imemtambulisha. Ilikuwa ndoto ya Wanajangwani...
UWEZO WA BEKI MPYA WA YANGA…NINJA ASIMULIA A-Z
MAPACHA Wameanza kutambiana, BAADA ya Usajili wa Chadrack Boka Kukamilika wanasema kwamba Aliyesajiliwa Simba Valentin Nouma alikuwa haoni ndani kwa Boka.
Beki huyo wa Kushoto...
MUDA WOWOTE BALEKE KUTAMBULISHWA YANGA…STORI IKO HIVI
HUENDA ukawa ni mshituko mwingine kwamba baada ya Yanga kumbeba Clatous Chama kutoka Simba na Prince Dube aliyekuwa Azam, sasa inafanya mipango ya kumshusha...
MRITHI WA LOMALISA ATAMBULISHWA YANGA…CHADRACK BOKA YUPO AVIC
Yanga imethibitisha kukamilisha usajili wa mlinzi wa kushoto Chadrack Boka kutoka klabu ya FC Lupopo ya DR Congo kwa mkataba wa miaka miwili.
Ilikuwa ni...
TAIFA STARS YAITAKA AFCON 2025…YAPANGWA NA WAZOEFU…RATIBA IKO HIVI
Taifa Stars imepangwa kundi H katika mashindano ya kuwania kufuzu fainali za mataifa ya Afrika (Afcon) 2025 zitakazofanyika Morocco kuanzia Desemba 21, 2025 hadi...
MAKOCHA, WACHEZAJI, WACHAMBUZI WATOA NENO USAJILI WA SIMBA…AHOU VS CHAMA
WADAU wa Soka mbalimbaliΒ wakiwemoΒ makocha wa ZamaniΒ wa Simba,Β wachezaji na wachambuzi wameonekana kutupia jicho zaidiΒ kwenye sajili za Simba, huku kubwa zaidi...
YANGA YAANZA NA GUEDE…AMPISHA MGHANA & BALEKE
MSHAMBULIAJI aliyemaliza na mabao sita katika Ligi Kuu Bara na matatu ya Kombe la FA na moja la Ligi ya Mabingwa Afrika msimu uliopita...
HABARI ZA USAJILI…MOLOKO WA YANGA KURUDI BONGO
UNAMKUMBUKA yule winga teleza wa zamani wa Yanga, Jesus Moloko? Unaambiwa jamaa baada ya kumaliza mkataba aliokuwa nao na klabu ya Al Sadaqa SC...