Simba Queens Kukutana Na JKT Queens Fainali, Yanga Princess Kusaka Nafasi Ya Tatu
Simba Queens itakutana na JKT Queens kwenye fainali ya Ngao ya Jamii Wanawake Oktoba 3, huku Yanga Princess na Mashujaa Queens zikisaka nafasi ya tatu.
Simba Queens itakutana na JKT Queens kwenye fainali ya Ngao ya Jamii Wanawake Oktoba 3, huku Yanga Princess na Mashujaa Queens zikisaka nafasi ya tatu.
Simba Queens imeichapa Yanga Princess mabao 3-0 katika nusu fainali ya Ngao ya Jamii Wanawake, ushindi unaotuma ujumbe mzito kabla ya kuanza kwa WPL na…
Pazia la msimu mpya wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania Bara (WPL) linafunguliwa rasmi leo, Septemba 30, kwenye Uwanja wa KMC, Mwenge jijini Dar es…
Baada ya kusubiri kwa hamu kubwa, hatimaye Ligi Kuu ya Wanawake (WPL) inarejea kwa kishindo kupitia Kipute cha Ngao ya Jamii kinachoshirikisha timu nne zilizomaliza…