Ligi Kuu Tanzania Bara Leo: Vita ya Pointi Sheikh Amri Abeid & Mkwakwani!
Ligi Kuu Tanzania Bara inaendelea leo Jumamosi kwa mechi mbili za kukata na shoka katika viwanja vya Sheikh Amri Abeid jijini Arusha na Mkwakwani jijini…
Ligi Kuu Tanzania Bara inaendelea leo Jumamosi kwa mechi mbili za kukata na shoka katika viwanja vya Sheikh Amri Abeid jijini Arusha na Mkwakwani jijini…
KIUNGO machachari Masoud Cabaye amekamilisha usajili wa kujiunga na klabu ya JKT Tanzania kwa mkataba wa mwaka mmoja, akitua klabuni hapo kama mchezaji huru baada…
Uongozi wa klabu ya Kagera Sugar umeingia kwa kasi kwenye soko la usajili mara tu baada ya kufanikiwa kupanda tena kucheza Ligi Kuu Bara kwa…
Klabu ya Pamba Jiji imeendelea kuimarisha kikosi chake kwa ajili ya msimu ujao wa ligi ili kurejesha ushindani wa hali ya juu, baada ya kufanikisha…
Klabu ya Simba imetangaza rasmi kufikia makubaliano ya pande zote mbili ya kuvunja mkataba wa kiungo mshambuliaji raia wa Kenya, Mohamed Bajaber. Bajaber alijiunga na…
Licha ya Mtibwa Sugar kushuka daraja msimu wa 2025-2026, wachezaji wa kikosi hicho wamegeuka lulu sokoni. Klabu mbalimbali za Ligi Kuu Bara zinapigana vikumbo kuwania…
KIUNGO mshambuliaji wa Yanga SC, Shekhan Khamis, ameondoka rasmi ndani ya kikosi hicho huku akisaka changamoto mpya zitakazompa nafasi ya kucheza mara kwa mara kuelekea…
KOCHA Mkuu wa JKT Tanzania, Malale Hamsini amesema ana mpango wa kusajili wachezaji wawili kwenye dirisha dogo ili kikosi chake kizidi kufanya vizuri kwenye Ligi…
Kocha Mkuu wa JKT Tanzania, Malale Hamsini amesema sababu kubwa ya timu hiyo kushindwa kutamba katika mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Kagera Sugar…
Kiungo wa JKT Tanzania, Hassan Nassor Maulid ‘Machezo’ aliyesimama kati na kuchuana na Mudathir Yahya na Stephane Aziz Ki wa Young Africans katika mechi ya…