Libasse Awasili Simba, Barker Akamilisha Silaha Zake Kabla Ya Dabi
Libasse Gueye amejiunga na Simba na kukamilisha kundi la mastaa waliokuwa nje, huku Steve Barker sasa akiwa na silaha zake zote kuelekea Dabi ya Yanga.
Libasse Gueye amejiunga na Simba na kukamilisha kundi la mastaa waliokuwa nje, huku Steve Barker sasa akiwa na silaha zake zote kuelekea Dabi ya Yanga.
Simba imehitimisha kambi ya Afrika Kusini kwa kipigo cha 2-1 dhidi ya Sekhukhune United, huku Elie Mpanzu akifunga na kikosi kikirejea Dar kwa maandalizi ya…
Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally, amefunguka kuhusu matokeo ya mechi mbili za kirafiki walizocheza nchini Afrika Kusini na…
Klabu ya Simba SC imeendelea kupata matokeo yasiyoridhisha katika michezo yake ya kirafiki nchini Afrika Kusini baada ya kukubali kichapo cha mabao 2-1 dhidi ya…
Simba SC imefungwa 1-0 na Polokwane City kwa bao la dakika 89, huku Steve Barker akijaribu wachezaji kwenye nafasi tofauti kuelekea Dabi ya Yanga.
Baada ya kukamilisha siku 10 za kambi nzito ya maandalizi nchini Afrika Kusini, miamba ya soka nchini Simba SC inatarajia kurejea jijini Dar es Salaam…
Steve Barker amesema kuchelewa kwa baadhi ya wachezaji kujiunga na kambi ya Simba Polokwane hakujavuruga programu yake kuelekea ratiba nzito ya Oktoba.
Meneja wa Simba SC, Patrick Rweyemamu, ameweka wazi sababu zilizopelekea kikosi hicho kuamua kuweka kambi ya maandalizi nchini Afrika Kusini. Akizungumza kuhusu hatua hiyo, amesisitiza…
Kocha Mkuu wa Simba SC, Steve Barker, ameipa kambi yao ya maandalizi nchini Afrika Kusini jina la βparadisoβ, akibainisha kuwa mazingira bora waliyoyapata yataisaidia timu…
Simba inaendelea na kambi Polokwane huku nyota 10 wakiwa kwenye majukumu ya timu za taifa. Hii ndiyo changamoto kubwa ya Steve Barker kabla ya Dabi…