Guinness Kulizungusha Kombe La EPL Dar
Jiji la Dar es Salaam leo limefurika msisimko mkubwa baada ya kupokea moja ya makombe yenye mashabiki wengi zaidi wa soka duniani—taji la Ligi Kuu…
Jiji la Dar es Salaam leo limefurika msisimko mkubwa baada ya kupokea moja ya makombe yenye mashabiki wengi zaidi wa soka duniani—taji la Ligi Kuu…
Ujio wa kombe la Ligi Kuu ya England (EPL) nchini Tanzania umetajwa kuwa fursa ya kipekee ya kuongeza hamasa kwa mashabiki na kutoa msukumo mpya…
AFISA Michezo Mwandamizi kutoka Baraza la Michezo la Taifa (BMT), Charles Maguzu, amesema ujio wa Kombe la Ligi Kuu England (EPL) nchini Tanzania utakuwa chachu…
DAR ES SALAAM, TANZANIA — TUKIO la kihistoria linatarajiwa kutokea nchini kesho Ijumaa, Oktoba 9, wakati Kombe rasmi la Ligi Kuu England (EPL) litakapowasili katika…