Simba Queens Yashinda 1–0, Yafikisha Pointi Sita
Simba Queens imeichapa Fountain Gate Princess bao 1–0 katika Ligi Kuu ya Wanawake Jumatano, Novemba 4, kwenye Uwanja wa Jamhuri, Dodoma. Ushindi huo umeifikisha Simba…
Simba Queens imeichapa Fountain Gate Princess bao 1–0 katika Ligi Kuu ya Wanawake Jumatano, Novemba 4, kwenye Uwanja wa Jamhuri, Dodoma. Ushindi huo umeifikisha Simba…
ACHANA na vita kali ya kuwania ubingwa wa Ligi Kuu ya Wanawake Bara (WPL) inayotarajiwa kuwa na ushindani wa aina yake msimu huu; kuna shughuli…
Kikosi cha Yanga Princess kimepiga hatua kubwa katika harakati zake za kusaka mrithi wa aliyekuwa kocha wao mkuu, Edna Lema, aliyetangaza kuondoka kikosini hapo hivi…
Msimu mpya wa Ligi Kuu ya Wanawake (NWPL) unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa, huku mabingwa watetezi Simba Queens wakianza safari yao ya kutetea ubingwa kwa…
BEKI wa kulia wa Simba Queens, Fatuma Issa ‘Fetty Densa’, ameweka wazi siri kubwa inayomfanya aendelee kudumu kwa muda mrefu ndani ya kikosi hicho huku…
Kocha wa Alliance Girls, Sultan Juma, amefichua kuwa timu hiyo inaendelea kufanyia kazi kwa karibu mapungufu yaliyojitokeza kwenye mechi za kirafiki, huku eneo la ulinzi…
KAMA kuna mchezaji mpya ambaye ameanza kuonyesha ubora wake mapema ndani ya kikosi cha Simba Queens, miongoni mwao yupo Senaf Demise. Mshambuliaji huyo raia wa…
KOCHA wa Mashujaa Queens, Rajabu Bwamkuu, ameweka wazi kuwa uwepo wa wachezaji wenye uzoefu ndani ya kikosi chake ndio silaha kuu inayoweza kuipa timu hiyo…
KOCHA Mkuu wa Simba Queens, Mussa Hassan ‘Mgosi’, ametoa taarifa ya kutuliza nyoyo za mashabiki baada ya kufichua kuwa winga wao machachari, Elizabeth Wambui, anaendelea…
Uongozi wa Yanga Princess umeanza rasmi mchakato wa kumsaka kocha mkuu mpya atakayechukua nafasi iliyoachwa wazi na Kocha Edna Lema. Edna alijiondoa kikosini hapo kufuatia…