YANGA WABORESHA KIKOSI KAZI, WAMBA WATATU HAWA HAPA KUTUA JANGWANI
Kikosi cha Yanga kimerejea jijini Dar es Salaam kutoka Kumasi, Ghana ilipoenda kucheza mechi ya Kundi D ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya wenyeji…
Kikosi cha Yanga kimerejea jijini Dar es Salaam kutoka Kumasi, Ghana ilipoenda kucheza mechi ya Kundi D ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya wenyeji…
Ukichungulia msimamo wa Ligi Kuu kwa sasa pale kileleni utawakuta Matajiri wa Dar es Salaam, Azam FC wakiwa wamepoa na alama zao 25, baada ya…
Mashujaa imecheza mechi nane mfululizo bila kupata ushindi katika Ligi Kuu Bara, kitu kimemfanya Kocha Mkuu wa timu hiyo, Abdallah Mohamed ‘Baresi’ kuamua kubwaga manyanga…
Klabu ya Ihefu imefufua matumaini katika Ligi Kuu Bara baada ya jioni ya leo kui-buka na ushindi wa mabao 2-1, dhidi ya Tabora United katika…
Mkuu wa Benchi la Ufundi la Mtibwa Sugar Zuberi Katwila, amepanga kuja na mikakati miwili tofauti ambayo itakirejesha katika ubora kikosi chake ambacho kwa sasa…
Sare ya 0-0 leo kwenye mchezo wa raundi ya 13 kati ya Prisona dhidi ya Ihefu imeifanya ihefu kufikisha siku 60 bila kuonja ushinda kwenye…
Inaelezwa kuwa, Azam FC inaweza kufanya usajili wa Mlinda Lango kutoka nchini Kenya na klabu ya AFC Leopards Levis Opiyo ili kuimarisha eneo lao hilo…
Mratibu wa Simba, Abbas Ally amesema kitendo cha kubadilishiwa uwanja dhidi ya Jwaneng Galaxy Jumamosi walikishtukia kabla kwa hiyo hakitawatoa mchezoni. Awali walikuwa wacheze ule…
Wakati Yanga wakijiandaa kukabiliana na Mabingwa watetezi wa Ligi ya Mabingwa Afrika Klabu ya Al Ahly siku ya Jumamosi Desemba 2 katika Uwanja wa Benjamin…
Mshambuliaji wa klabu ya Simba, John Bocco anamaliza mkataba wake na Wekundu wa Msimbazi mwishoni mwa msimu huu na atakuwa Mchezaji huru (Free agent) ambapo…