Tag: morocco
SIMBA WASHINDWE WENYEWE MWAMBA KAVUNJA MKATABA HUKO
Kiungo wa klabu ya Union Touarga ya Morocco, Eric Mbangossoum mwenye umri wa miaka 23, amevunja mkataba na klabu hiyo hivyo ni dodo kwa...
KOCHA WA TIMU YA TAIFA YA MOROCCO AMPIGA KIKUMBO BENCHIKHA CAF
Kocha timu ya Taifa ya Morocco, Walid Regragui ameshinda tuzo ya kocha bora wa mwaka 2023 baada ya kuiongoza Morocco kumaliza nafasi ya nne...
KOCHA WYDAD AWAANGALIA MASHABIKI WAO KISHA AKAWAPA HABARI HII…. HIKI NDICHO...
Kocha Mkuu wa Wydad Casablanca, Adil Ramzi amesema kwa sasa huruma pekee watakayo ipata Kwa mashabiki wao ni kushinda Kila mchezo uliopo mbele yao.
Wydad...
UONGOZI SIMBA WAJILIPUA MOROCCO, UNAAMBIWA HUKO UNYAMA UNYAMA TU MUHIMU POINTI...
Uongozi wa Simba SC umeamua kujilipua mapema kwa kuandaa kamati maalum ya watu 10 watakaohakikisha wanaiwezesha klabu hiyo kuvuna pointi tatu nchini Morocco dhidi...
KOCHA WYDAD HALI SI SHWARI TENA
Uongozi wa Klabu ya Wydad Ac ya Morocco muda wowote unaweza kumfuta kazi kocha wao Mkuu Adel Ramzi.
Taarifa inathibitisha kuwa muda wowote kuanzia Sasa...
LICHA YA KIPIGO MALENGO YA TAIFA STARS YAKO PALEPALE KOMBE LA...
Morocco moja kati ya timu bora kabisa Afrika kwa sasa ikiwa inashika nafasi ya 13 kwa ubora duniani huku Tanzania kidunia inashika nafasi ya...
MANARA AKABIDHIWA KIPAZA SIKU YA MCHEZO WA MOROCCO
Kila mmoja wetu Mungu amemtunuku kitu special vile atakavyo. Wengi tuko tofauti katika vitu vingi, japo muda mwingine tunaweza kufanana katika hili na lile.
Jumanne...
KUELEKEA KOMBE LA DUNIA STARS YAINYOOSHEA KIDOLE MOROCCO
TIMU ya taifa ya Tanzania, ‘Taifa Stars’ imeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Niger katika mchezo wa kuwania kufuzu fainali ya Kombe...
TAIFA STARS KUKUTANA NA BALAA LA MASTAA A MOROCCO
Morocco imeita wachezaji 14 kati ya 26 walioshiriki fainali za Kombe la Dunia mwaka jana kwa ajili ya mchezo wa kuwania kufuzu fainali za...
SIRI YA SIMBA KUMSAJILI AYOUB KAMA KIPA WAO MPYA YAFICHUKA
Kigezo cha uzoefu wa mashindano ya kimataifa, kimeonekana kuwa sababu kuu iliyoishawishi Simba kumsajili kipa Ayoub Lakred kutoka FAR Rabat ya Morocco ambaye leo...