WPL 2026/27 Kuzaa Moto: Simba Queens, JKT na Yanga Princess Nani Kubeba Ubingwa?
Msimu mpya wa Ligi Kuu ya Wanawake Bara (WPL) 2026/27 unaanza rasmi leo, Oktoba 28, 2026, huku macho yote ya wapenda soka nchini yakielekezwa kwa…
Msimu mpya wa Ligi Kuu ya Wanawake Bara (WPL) 2026/27 unaanza rasmi leo, Oktoba 28, 2026, huku macho yote ya wapenda soka nchini yakielekezwa kwa…
Kipa wa Yanga Princess, Molly Nabitaka, ameibuka shujaa na kuivusha timu yake kutwaa nafasi ya tatu kwenye michuano ya Ngao ya Jamii kwa Wanawake baada…
Leo Jumamosi, Uwanja wa KMC Complex unatarajiwa kuwa na vuguvugu kubwa la soka wakati mabingwa watetezi wa Ngao ya Jamii, JKT Queens, watakapomenyana na mabingwa…
Mambo yanazidi kuwa magumu kwa Wananchi baada ya Yanga Princess kupoteza tena fursa ya kutwaa taji ililokuwa inalisaka kwa mara ya kwanza tangu ilipoanza kushiriki…
KOCHA Mkuu wa JKT Queens, Kessy Abdallah, amesisitiza kuwa kikosi chake kipo tayari kutetea taji la Ngao ya Jamii Wanawake baada ya kufanikiwa kutinga hatua…
Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally, amemwaga cheche baada ya Simba Queens kuendeleza ubabe na kuiondoa Yanga Princess kwenye…
Simba Queens itakutana na JKT Queens kwenye fainali ya Ngao ya Jamii Wanawake Oktoba 3, huku Yanga Princess na Mashujaa Queens zikisaka nafasi ya tatu.
Simba Queens imeichapa Yanga Princess mabao 3-0 katika nusu fainali ya Ngao ya Jamii Wanawake, ushindi unaotuma ujumbe mzito kabla ya kuanza kwa WPL na…
Pazia la msimu mpya wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania Bara (WPL) linafunguliwa rasmi leo, Septemba 30, kwenye Uwanja wa KMC, Mwenge jijini Dar es…
Baada ya kusubiri kwa hamu kubwa, hatimaye Ligi Kuu ya Wanawake (WPL) inarejea kwa kishindo kupitia Kipute cha Ngao ya Jamii kinachoshirikisha timu nne zilizomaliza…