Mabondia 10 wa Tanzania Wanaovutia kwa Muonekano na Rekodi Zao Ulingoni
Ukiachana na makonde mazito, mikanda ya ubingwa na ushindani mkali unaotawala ndani ya ulingo, mchezo wa ngumi nchini Tanzania una sura nyingine inayozidi kuvutia macho…
Ukiachana na makonde mazito, mikanda ya ubingwa na ushindani mkali unaotawala ndani ya ulingo, mchezo wa ngumi nchini Tanzania una sura nyingine inayozidi kuvutia macho…
LONDON, ENGLAND — Dakika 30 baada ya Daniel Dubois kumchapa Fabio Wardley ndani ya raundi zisizofika mbili, promota wake Frank Warren alitikisa kichwa kwa mshangao…
Katika Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati (CECAFA), Tanzania inaendelea kushuhudia ukuaji mkubwa wa michezo mbalimbali, hususani soka na ngumi za kulipwa. Vipaji vingi vya…
Bondia wa Kitanzania, Said Mundi ‘Kiboko ya Wabishi’, anayepigana uzani wa kilo 69, ameonyesha mfano wa kuigwa baada ya kuamua kuitumia vyema fursa ya kimaisha…
GAUTENG, AFRIKA KUSINI: Jamii ya michezo na raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) wamegubikwa na majonzi mazito kufuatia ripoti za kusikitisha za kuuawa…