Mngqithi Aiponda Yanga Baada ya Ushindi dhidi ya Gaborone Utd: “Tungeshinda 7-0”
Kocha Mkuu wa Yanga, Manqoba Mngqithi, amewataka wachezaji wake kuwa makini katika umaliziaji huku akisisitiza kuwa ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Gaborone United haukuakisi…