Selemani Mwalimu Afunguka Ushindani Yanga, Aweka Wazi Malengo Yake
Mshambuliaji wa Yanga SC, Selemani Mwalimu, ameweka wazi kuwa yuko tayari kutumia vyema kila fursa atakayopewa na benchi la ufundi kupambana kwa uwezo wake wote,…
Mshambuliaji wa Yanga SC, Selemani Mwalimu, ameweka wazi kuwa yuko tayari kutumia vyema kila fursa atakayopewa na benchi la ufundi kupambana kwa uwezo wake wote,…
Kocha Mkuu wa Yanga SC, Manqoba Mngqithi, amewataka washambuliaji na mabeki wake kuingia uwanjani wakiwa na umakini wa kiwango cha juu, akisisitiza kuwa ufanisi wa…
DAR ES SALAAM – Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally, ameweka nukta kwenye mijadala inayoendelea akisisitiza kuwa klabu hiyo…
Siku za utambulisho wa nyota wapya katika matukio ya Simba Day na Wiki ya Wananchi zilibeba msisimko mkubwa msimu huu. Hata hivyo, kilichobadili kabisa upepo…
Uongozi wa Simba SC umeamua kugeuza machungu ya kukosa saini ya mshambuliaji Selemani Mwalimu kuwa fursa ya kusajili mashine mpya ya mabao, kufuatia mchezaji huyo…
UONGOZI wa Simba SC kupitia Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi, Crescentius Magori, umeweka wazi sababu zilizowafanya wajitoe kwenye mbio za kumsajili mshambuliaji Selemani Mwalimu, ambaye…
Mzabuni wa klabu ya Simba SC, Joseph Rwegasira maarufu kama ‘Jayrutty’, amewatuliza mashabiki na wanachama wa klabu hiyo kufuatia hatua ya wapinzani wao wa jadi,…
Baada ya Yanga SC kumtambulisha rasmi mshambuliaji Selemani Mwalimu, ushindani wa namba katika safu ya ushambuliaji unatarajiwa kushika kasi mpya kuelekea msimu wa 2026/27. Usajili…
Mshambuliaji hatari Selemani Mwalimu amekuwa gumzo kubwa kwenye soko la usajili la msimu wa 2026/27 baada ya Yanga SC kufanya umafia wa kimya kimya na…
Mshambuliaji hatari, Selemani Mwalimu, yuko njiani kurejea nchini kujiunga rasmi na kikosi cha Simba SC, huku safari yake ya kurejea Bongo ikipitia Doha, Qatar kabla…