Simba Day 2026: Simba Yachapwa 1-0 na Kenya Police Uwanja wa Uhuru
Klabu ya Simba imeshindwa kutamba mbele ya mashabiki wake waliojitokeza kwa wingi kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam, baada ya kukubali kichapo cha…
Klabu ya Simba imeshindwa kutamba mbele ya mashabiki wake waliojitokeza kwa wingi kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam, baada ya kukubali kichapo cha…
Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania Bara, Simba Queens, wameanza rasmi safari ya msimu mpya wa 2026/27 baada ya kutambulisha benchi lao jipya…
Kocha Mkuu wa Simba SC, Steve Barker, ameeleza kufurahishwa kwake na kurejea rasmi kwa kiungo mchezaji Neo Maema kikosini hapo, baada ya taratibu zote za…
Wikiendi hii mashabiki wa soka nchini Tanzania wanashuhudia burudani kabambe kutoka kwa klabu mbili kongwe zaidi nchini, Simba SC na Yanga SC. Leo Jumamosi ni…
KIUNGO mshambuliaji raia wa Afrika Kusini, Neo Maema, ameonekana kwa mara ya kwanza katika kikosi cha Simba SC tangu kumalizika kwa msimu uliopita, akitoa ishara…
Kocha Mkuu wa Simba SC, Steve Barker, amesema mchezo wa kirafiki dhidi ya Police FC kutoka Kenya utakaochezwa kesho katika kilele cha Simba Day utakuwa…
Kikosi cha Simba SC Kurejea Dar es Salaam Baada ya Kambi Nchini Rwanda Baada ya kukamilisha majukumu ya maandalizi ya msimu mpya nchini Rwanda, kikosi…
UONGOZI wa klabu ya Simba SC umeamua kusimamisha kwa muda mchakato wote uliokuwa ukiendelea kuelekea uundwaji wa Baraza la Wadhamini, kufuatia maamuzi yaliyofikiwa katika kikao…
Klabu ya FC St Eloi Lupopo kutoka nchini DR Congo inatarajiwa kutua nchini Tanzania muda wowote kuanzia sasa kwa ajili ya kuweka kambi ya kujiandaa…
Uongozi wa Simba SC umeweka wazi kuwa mchakato wa usajili wa kikosi chao kuelekea msimu mpya wa 2026/27 bado haujafungwa, huku ukiwataka mashabiki kukaa tayari…