KOCHA SIMBA AMPIGA KO NABI…BALEKE AMCHAKAZA MAYELE VIBAYA MNO
Straika Jean Baleke, kocha mkuu wa Simba, Roberto Oliveria ‘Robertinho’ na Meneja wa uwanja wa Highland Estate, Malule Omary wamekabidhiwa tuzo zao za mwezi Machi…
Straika Jean Baleke, kocha mkuu wa Simba, Roberto Oliveria ‘Robertinho’ na Meneja wa uwanja wa Highland Estate, Malule Omary wamekabidhiwa tuzo zao za mwezi Machi…
Mshambuliaji Mkongo, Jean Toria Baleke Othos ametumia dakika nane za mwisho kuifungia Simba SC mabao yote ikiibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya Ihefu SC…
Achana zile Assist za Clatous Chama acha na ile mikimbio na press za Ntibazonkiza acha na zile Hat trick za Beleke ila pale Simba SC…
Pamoja na milango kufunguliwa mapema lakini bado idadi ya mashabiki waliofika uwanjani kishuhudia mchezo wa Ihefu na Simba ni ndogo. ‘Tangu saa 5 asubuhi milango…
WAKATI Ihefu ikiwakaribisha leo Simba, mechi hiyo itakuwa ni vita kati ya mastaa wawili, Yacouba Sogne na Jean Baleke ambao wamekuwa moto kwa timu hizo…
WAKATI baadhi ya wadau wa soka nchini wakionesha wasiwasi kwa Simba kupenya mbele ya wapinzani wao, Wydad AC ya Morocco, beki wa zamani wa timu…
SIMBA imeanza hesabu kali sana ikitaka kuangusha mbuyu wa Wydad Casablanca na kocha wa timu hiyo Roberto Oliveira ‘Robertinho’ ametamka kwamba anakiamini kikosi chake na…
Dar es Salaam. Kupona kwa nyota majeruhi kunazidi kupunguza presha ya makocha wa Simba na Yanga katika maandalizi ya timu zao kwa ajili ya mechi…
Straika wa Simba SC, Jean Othos Baleke aliesajiliwa wakati wa Dirisha dogo, katika mechi nne zilizopita za mashindano yote amekuwa na takwimu zinazowasisimua wengi. Takwimu…
Mshambuliaji wa Simba SC, Jean Baleke amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mwezi Machi wa Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC Primia Ligi). Baleke alikuwa na Kiwango…