Habari za Simba SC
Habari za michezo

KOCHA SIMBA AMPIGA KO NABI…BALEKE AMCHAKAZA MAYELE VIBAYA MNO

Marce Ben Komba April 11, 2023 9:25 am

Straika Jean Baleke, kocha mkuu wa Simba, Roberto Oliveria ‘Robertinho’ na Meneja wa uwanja wa Highland Estate, Malule Omary wamekabidhiwa tuzo zao za mwezi Machi baada ya kufanya vizuri katika nafasi zao.

Baleke aliibuka mchezaji bora ligi kuu wa mwezi huo akiwashinda wenzake Jeremiah Juma na Daruwesh Saliboko alioingia nao kwenye kinyang’anyiro.

Kwa upande wake Robertinho aliwashinda Kocha Mkuu wa Yanga, Nassredin Nabi na Abdalah Mohamed ‘Bares’.

Naye Meneja Omary alochaguliwa na kamati ya tuzo kufuatia kuweka vizuri miundombinu ya uwanja. Tuzo hizo zimetolewa leo kwenye uwanja wa Highland Estate Mbarali wakati Simba na Ihefu zikijiandaa kuingia uwanani kucheza mchezo wao wa ligi kuu.

VITA YA IHEFU NA BALEKE YAKOSA MWAMUZI…ISHU NZIMA IKO HIVI MFALME MPYA WA MERIDIANBET HUYU HAPA….JAMAA KAWEKA ELFU 20 KAVUNA MIL 26 KIULAINII KABISA…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply