Tag: Simba SC
AHMED ALLY ATUPA DONGO KWA AZAM, YANGA NA COASTAL
Afisa habari na mawasiliano wa Simba Sc Ahmed Ally licha ya kufurahishwa na matokeo ya mchezo wa jana dhidi ya Fountain Gate alieleza furaha...
YANGA NA AZAM MSHINDWE NYIE TU LEO.
Timu tatu za Tanzania leo zitakuwa katika viwanja tofauti barani Afrika zikicheza mechi za marudiano za raundi ya kwanza ya mashindano ya klabu Afrika...
AWESU ATOBOA SIRI…AELEZEA BAO LILE LA TABORA UTD
KIUNGO mpya wa Simba, Awesu Awesu ametoa msimamo baada ya kukiri alikuwa na ndoto za muda mrefu za kuichezea timu hiyo, lakini sasa ana...
NYOTA WA SIMBA ANUKIA CYPRUS…PAOK HAPAELEWEKI
Mabosi wa Omonia Nicosia ya Cyprus wameripotiwa kuvalia njuga dili la kumnasa nahodha wa Taifa Stars na nyota wa zamani wa Simba, Mazembe, KRC...
FREDDY MICHAEL ATUPA DONGO SIMBA.
SAA chache baada ya kutemwa na Simba, mshambuliaji Freddy Michael amevunja ukimya na kufunguka akisema alichofanyiwa imekuwa ni kama sapraizi kwani alikuwa amejipanga kufanya...
TUWE NA AKIBA YA MANENO…MUKWALA ANA BALAA
Huko mitaani kwa sasa usajili unaojadiliwa sana vijiweni ni ule wa straika mpya wa Simba, Steven Mukwala aliyetua hivi karibuni akitokea, Asante Kotoko ya...
SIMBA KUCHEZA NA AL AHLI HATUA YA PILI
NI RASMI Simba Sc itachuana na Al Ahli Tripoli kwenye hatua ya kwanza ya kombe la Shirikisho Afrika baada ya miamba hiyo ya Libya...
RAIS SAMIA ATANGAZA NEEMA KWA SIMBA NA YANGA
RAIS Samia Suluhu Hassan, amesema amefanya mazungumzo na wadau na wawekezaji wakubwa hapa nchini kwa ajili ya kuzidhamini klabu za Simba na Yanga ili...
KISA GSM YANGA BODI YA LIGI KUSIKILIZA MALALAMIKO YA UDHAMINI
BODI ya Ligi imesema kuwa inakaribisha maoni ya wadau wote ambao wanaona hakuna haja ya mtu, kampuni au taasisi kudhamini zaidi ya timu moja...
MECHI YA SIMBA VS FOUNTAIN GATES IPO PALE PALE
Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (Fifa) limeiondolea adhabu ya kutosajili timu ya Fountain Gate baada ya kupata uthibitisho kuwa imelipa fidia ya mchezaji...