Tag: Simba SC
BIASHARA YA AWESU ILIKUWA NA FAIDA…ONANA AIPA MAMILION SIMBA
WAKATI mabosi wa Simba wakisema wamefanya biashara nzuri kwa kumuuza kiungo mshambuliaji wake, Andre Willy Esomba Onana, rasmi kiungo Awesu Awesu ni mali ya...
ATEBA AANZA KAZI SIMBA…AWAITA MASHABIKI KESHO
MARA Baada tu ya kutambulishwa, straika, Christian Leonel Ateba, kutoka USM Alger ya Algeria, amewataka wanachama na mashabiki wa Simba kujitokeza kwa wingi kushuhudia...
SIMBA NA YANGA KUOGA MAMILIONI YA CAF
Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (Caf) limetangaza kutoa kiasi cha Dola 50,000 kwa kila timu inayoshiriki Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la...
UJIO WA ATEBA SIMBA…WAWILI ROHO JUU…FREDY NAE MMMH
Klabu ya Simba jana imekamilisha usajili wa Leonel Ateba kutoka USM Alger ya Algeria na saa 4:00 usiku ikamtambulisha rasmi.
Wakati Wanasimba wakitamba na ujio...
USAJILI WA ATEBA NI KAMA MOVIE LA KUTISHA…ULIANZIA HUKU
Wakati mchakato wa kumsajili mshambuliaji mpya wa Simba, Christian Leonel Ateba Simba unaanza skauti wa Simba, Mels Daalder alimpendekeza mshambuliaji wa Red Arrows kutoka...
MGUNDA AFUNGUKA MAZITO…MASHABIKI KAENI KWA KUTULIA
BAADA ya Jeshi zima la Simba kutua salama Ethiopia, Kocha Mkuu wa Simba Queens, Juma Mgunda, amesema wachezaji wake wanajua kilichowapeleka nchini humo na...
MAVUNDE AFUNGUKA UGUMU USAJILI WA AUCHO…TULIKESHA AIRPORT
Mwanachama wa Klabu ya Yanga na Mlezi wa klabu ya Dodoma Jiji, Anthony Mavunde amesema kuwa wakati wa usajili wa kiungo mkabaji, Khalid Aucho,...
KIMEBUMA…ONANA ATEMWA QATAR…AGEUKIA HUKU
Aliyekuwa mshambuliaji wa Simba, Willy Essomba Onana Raia wa Cameroon yuko katika hatua za mwisho za kukamilisha dili lake la kujiunga na Al Ahli...
TULIKAA KINYONGE SANA…MUDA WA KUFURAHI NA KUNUNA UMERUDI…LIGI KUU YA MOTO
Sasa kazi inaanza rasmi. Ligi Kuu Bara inaanza leo Ijumaa, lakini kesho kuna mechi nyingine nne za ligi hiyo ukiwamo ule wa Simba dhidi...
GAMONDI HATAKI MCHEZO…APIGA BITI ZITO KWA MASTAA WAKE
IMEBAKI siku moja kabla ya Yanga kushuka uwanjani kuvaana na Vital’O ya Burundi katika mechi ya awali ya raundi ya kwanza ya Ligi ya...