Tag: Simba SC
FAINALI YA TATU YANGA VS AZAM FC…REKODI ZIKO HIVI
MABINGWA WA LIGI KUU YANGA watacheza naΒ Waoka mikate wa Chamazi Azam FC, ambapo hii inatoa taswira za timu hizo kukutana kwenye fainali nyingi...
SIO KAWAIDA SIMBA KUKUBALI KUFUNGWA…WAPONGEZWA
Pongezi zielekezwe kwa Simba,wamesajili vizuri,wanaonyesha kuna pahala wanaelekea kuutafuta ubora walionao Yanga kwa takribani misimu mitatu mfungaji!
Yanga ilitengeneza upekee wake,kiasi cha kuwa ili uweze...
PRINCE DUBE AJUTA KUTOIFUNGA SIMBA…MWENYEWE ALICHOKIONA
BAADA ya kutoa asisti ya bao pekee kwenye Kariakoo Dabi ya Yanga na Simba jana mechi ya pili ya nusu fainali ya Ngao ya...
MSALA WA AWESU NA KAGOMA SIMBA…TFF WAKUTANA
ACHANA na lile sakata la usajili wa beki Lameck Lawi aliyekuwa Coastal Union aliyetimkia kwa sasa KAA Gent ya Ubelgiji, inaelezwa nyota watatu wapya...
BREAKING NEWS…SIMBA NA YANGA KUPIGWA OKT 19…BODI YA LIGI YATANGAZA
HATIMAYE Bodi ya Ligi wametangaza Ratiba ya Msimu wa Ligi Kuu 2024/25 ambayo itaanza kutimua vumbi kuanzia Agosti 16 kwa mchezo mmoja pekee, huku...
AHMED ALLY AJIBU SUALA LA JEZI YA MANULA…KUVALIWA NA MANULA
HATIMAYE Uongozi wa Simba kupitia Idara ya Habari na Mawasiliano ya klabu hiyo, imetoa ufafanuzi juu ya jezi namba 28 inayotumiwa na kipa Aishi...
AHMED ALLY ATAMPONZA STEVE MUKWALA…TAKWIMU ZINAMBEBA
Usajili wa mshambuliaji aliyefanya vizuri sana kule Ghana katika Ligi Kuu ya nchi hiyo, Steven Mukwala ulishereheshwa vilivyo na Meneja Habari na Mawasiliano wa...
WAZIRI CHUMI KUHUSU YANGA NA SIMBA…AWACHAMBUA WOTE
BAADA ya mchezo wa Kariakoo Dabi kutamatika na Yanga kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Simba, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje...
NYIE HAMUOGOPI? YANGA HII UNAIFUNGAJE…
YANGA hii unaifungaje? Mashabiki wametuma tambo kimtindo kwa watani zao wa jadi baada ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 kwenye mchezo wa hatua...
KILICHOIUA SIMBA NI HICHI…SIMBA WATUPA LAWAMA KWA REFA
YANGA wameendeleza ubabe wao kwa Simba baada ya kupata ushindi wa bao 1-0 katika mchezo wa nusu fainali ya Ngao ya Jamii uliochezwa Uwanja...