KWA HILI LA CHAMA NI WAZI MAMBO SIO MAMBO MSIMU HUU
Mwamba wa Lusaka, Clatous Chama mkali wa pasi za mwisho Novemba 8 2023 anatimiza saa 792 za kuganda bila kushangilia pasi yake ya bao wala…
Mwamba wa Lusaka, Clatous Chama mkali wa pasi za mwisho Novemba 8 2023 anatimiza saa 792 za kuganda bila kushangilia pasi yake ya bao wala…
Wekundu wa Msimbazi Simba SC wamelazimishwa sare ya bao 1-1 dhidi ya Namungo mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliopigwa Novemba 9 Uwanja wa Uhuru.…
Mshambuliaji wa Simba SC, Jean Baleke amefunga goli lake la 7 katika msimu huu wa Ligi Kuu ya NBC katika mechi dhidi ya Namungo FC…
Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara Yanga ni wa moto kila idara lakini kwa mujibu wa takwimu mabomu ya timu hiyo kumaliza mechi yapo kwa…
Mchambuzi wa soka Yahya Njenge amesema aliyekuwa Kocha Mkuu wa Simba SC, Roberto Oliviera ‘Robertinho’ alikuwa anatafutiwa sababu ya kufukuzwa na ikapatikana baada ya kufungwa…
Aliyewahi kuwa kocha wa Simba SC Sven Van Dabroek ambaye alifundisha FAR Rabat naWydad Casablanca zote za nchini Morocco kisha akafundisha CR Belouzdad ya nchini…
Simba SC, juzi Jumapili ilikubali kipigo cha mabao 5-1 dhidi ya Yanga, katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Mkapa, Dar es Salaam.…
Baada ya Simba kutoa Taarifa za kuachana na Kocha wake Mkuu Roberto Oliveira ‘Robertinho, hatimaye Kocha Daniel Cadena ambaye amepewa majukumu ya muda kukinoa kikosi…
Kiungo mshambuliaji wa Simba Clatous Chota Chama ameuanza msimu huu vibaya kwenye ligi kuu tofauti na misimu iliyopita akiwa ndani ya timu hiyo. Takwimu zilizokusanywa…
Mastaa wa Simba juzi walipoteza Sh300Milioni mkononi baada ya kupoteza mechi dhidi ya Yanga. Viongozi walikaa na wachezaji Jumamosi jioni kwenye kambi yao Jijini Dar…