Tetesi za Usajili Simba
Habari za michezo

HUYU HAPA NDIE ALIYESHIKA MIKOBA YA ROBERTINHO

Staff Desk November 8, 2023 6:27 am

Baada ya Simba kutoa Taarifa za kuachana na Kocha wake Mkuu Roberto Oliveira ‘Robertinho, hatimaye Kocha Daniel Cadena ambaye amepewa majukumu ya muda kukinoa kikosi cha Simba ameanza kazi, akianza kusimamia mazoezi ya kujiandaa na mechi dhidi ya Namungo itakayochezwa katika Uwanja wa Uhuru, Jijini Dar es Salaam, Novemba 9, 2023

Baada ya Simba kutoa Taarifa za kuachana na Kocha wake Mkuu Roberto Oliveira ‘Robertinho, hatimaye Kocha Daniel Cadena ambaye amepewa majukumu ya muda kukinoa kikosi cha Simba ameanza kazi, akianza kusimamia mazoezi ya kujiandaa na mechi dhidi ya Namungo itakayochezwa katika Uwanja wa Uhuru, Jijini Dar es Salaam, Novemba 9, 2023 Timu hiyo sasa itakuwa chini ya kocha Daniel Cadena akisaidiwa na Seleman Matola huku mchakato wa kutafuta kocha mpya ukiendelea.

KWAPUA VIBUNDA NA MECHI ZA LIGI YA MABINGWA LEO MAMBO HAYA NDIO CHANZO CHA KIPIGO CHA SIMBA KWA MKAPA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply