KOSA LA SIMBA LILIKUWA HAPA DHIDI YA AL AHLY
Mpira ni mchezo wa makosa hilo lipo wazi na ilikuwa hivyo kwenye mchezo wa ufunguzi wa Afrinca Football League kati ya Simba dhidi ya Al…
Mpira ni mchezo wa makosa hilo lipo wazi na ilikuwa hivyo kwenye mchezo wa ufunguzi wa Afrinca Football League kati ya Simba dhidi ya Al…
TAJIRI na mwekezaji wa Simba, Mohammed Dewji ‘Mo’ na jopo lake, wamewawekea mezaji wachezaji Sh1 bilioni ili waitoe Al Ahly kwenye michuano ya Africa Football…
Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa ameeleza kuwa mchezo wa Simba dhidi ya Al Ahly ya Misri hauna goli la…
Jitihada kubwa za kulisakama lango la Al Ahly katika mchezo wa jana zilikuwa zaidi miguuni mwa mshambuliaji Kibu Denis aliyefunga bao la kusawazisha. Ulikuwa mchezo…
Sadio Kanoute Putin mimi napenda kumuita Midfielder Dynamo. To be honest kipindi cha pili kijana kabadilisha mchezo mzima…..kwanza kaongeza kasi ya mchezo,fujo kwenye pressing na…
Uongiozi wa Simba umeweka wazi kuwa uwepo wa wachezaji wanaofanya vizuri kwenye kikosi hicho eneo la uwanja wa mazoezi ni nguvu kubwa kuelekea mchezo wao…
Simba na Yanga walikuwa na Hajis Manara lakini kwa sasa anatumikia adhabu ya kifungo alichopewa na Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania “TFF”. Mtu akiniuliza…
Saa chache kabla ya kushuka dimbani, Simba SC imesema leo Ijumaa (Oktoba 20) itadhihirisha ukubwa wake kwa mashabiki wa soka Duniani kwa kuifunga Al Ahly…
Mchambuzi wa masuala ya soka nchini, Salama Ngale amesema kuwa safu ya kiungo ya Klabu ya Simba bado inapwaya hivyo kocha wao, Robertinho anapaswa afanye…